Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hivi jamani mtu ukitaka kujua deni la loan board unadaiwa sh ngapi unafanyaje
Nenda kwenye website yao kuna sehemu ya kufungua akaunti ambayo ukimaliza utaona details zote za deni lako.

Kuna mchanganuo wa jinsi walivyokuwa wanakulipa hizo hela kila Semister, so utaweza kupiga total na kujua unadaiwa kiasi gani
 
ok asante kaka
 
Ndugu zanguni! Wakati watu wanatoa shuhuda humu nilikua nahisi haiwezekani, safari ilikua ndefu sana written za kutosha na oral mbili plus kukosa oral! Hatimaye wakati wa Mungu wakati sahihi umenifikia! Database imeniona nilifanya oral ya mwsho february! Na post ilihitaji watu wawili tu tukaitwa 15! Naomba msiache kujaribu na msikate tamaa wapambanaji! Ikawe heri kwenu pia siku moja ndugu zangu!
 
Hongera sana.
 
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Yn kwenye post ya kazi walihitajika wawili ila pdf la kuitwa kazini likabeba watu 15?
 
Hongera sana
 
Hongera mkuu.
 
Hongera sana Familia..
 
Hongera sanaa...Ukawe Mtumishi mwema kiongozi
 
kila lakheri kaka haikua rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…