Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Malupulupu kama extra duty, na bima n.k kwa watu wa afya??
 
Kada yangu wote waliofanikiwa wameitwa mikoa waliyofanyia usahili na kila mkoa hawajakosa watu 3-4
 
Kwa iyo waliofaulu mwanzo ndio walitakiwa waende wizara ya afya, au vyovyote tu ni sawa uko tamisemi?
 
hlo pdf nitakalokuwemo nitalitengenezea frem nilitundike sebuleni
Yaani hawa Kenge utumishi ,wamekuwa ni waalimu na manesi tu kila siku vipisi vipisi vya pdf ,bora wangewabakisha huko huko Tamisemi
Wanashindwa nini kutoa pdf moja na be done with it ,kuliko huu upuuzi wa kukata vipande visivyo na maana
 
Yaani hawa Kenge utumishi ,wamekuwa ni waalimu na manesi tu kila siku vipisi vipisi vya pdf ,bora wangewabakisha huko huko Tamisemi
Wanashindwa nini kutoa pdf moja na be done with it ,kuliko huu upuuzi wa kukata vipande visivyo na maana
Wanaboa kishenz yan
 
Wakuu,

Naomba ushauri, nna usaili wa assistant producer ya TBC, sasa h kazi inataka mtu anayeweza kuongea na kusoma vzr mana kazi mojawapo ni kusoma taarifa ya habari pamoja na mambo yote mnayojua ya kuongea kwenye vyombo vya habari.
H kazi ipo ndani ya qualifications zangu.

Sasa tatizo langu n kwamba nna kigugumizi kiasi kwamba hata kwenye kusoma hua nasitasita japokuwa sio kigugumizi kikali ila nikiwa nazungumza unajua kabisa nna kigugumizi.

Binafsi nataka kwenda ila kila nikifikiria hicho kigugumizi afu nafasi ni moja yn mpaka nahisi kukata tamaa.

Wakuu, naombeni ushauri wa kunitengeneza kiakili.

Pia wakuu, nauliza, Mfano umepata kazi maybe hy ambayo naona sitoiweza je naweza nikafika huko kazini na kubadili na kuchagua ambayo hawajaitangaza ila naiweza?
 
Nenda kaka.nilisikia kuna fomu ya kujaza kama utashida .mengine yataeleweka mbele ya safari.ila kapambane mkuu.all the best mkuu.
 
Nenda mkuu placement ndio cha muhimu wakikuona unafit ni kuwa wameelewa nafasi utakayofaa kufit

Nenda kapambanie placement hayo mengine utajua ukiwa kazini huezi jua hiyo unayoita changamoto ikawa ndio sababu ya wewe kupita
 
We nenda kapambane. Pia mtangulize Mungu utashinda.
 
Inavyoonekana watu wa kada za afya aidha hawako wengi humu jukwaani au hawajasota sana hivyo kutokuona sababu ya kutoa shuhuda humu jukwaani
 
Wakuu, Dogo kapelekwa Ngorongoro.

Nipeni A B C, ikiwemo Furusa nyingine za Maisha na PESA.

kama hakufai, nimuanzie mchakato wa Kuondo


Nenda kapige unaweza fika ukakuta kuna wenye kigugumizi kukushnda hata wewe.
Alafu hyo issue ya kubadili huwa ipo.
 
Ninavyocheki hizi pdf za afya najiuliza swali moja, bila shaka huko migiro pamefurika haswa na naona matangazo yote yanakuwa yanasema ndani ya siku saba raia ndo wafate barua baada ya hapo zinatumwa posta, ina maana wanapiga kazi hadi weekend kule kupunguza jam au chuma ni siku za kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…