Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada ya Afya wamechukuliwa wengi sana, sidhani kama imewahi kutokea kwa pamoja kuchukuliwa wengi hivi.Inavyoonekana watu wa kada za afya aidha hawako wengi humu jukwaani au hawajasota sana hivyo kutokuona sababu ya kutoa shuhuda humu jukwaani
Haionyeshi chochoteWakuu kama jina likiwa kwenye database kwenye account ya PSR inaandika status ipi?
Watu wanajuaje kama wako database?Haionyeshi chochote
Hongera kwa kulamba asali ukawe mtumishi muadilifuAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Shukran sana mkuu uadilifu nitautanguliza mbeleHongera kwa kulamba asali ukawe mtumishi muadilifu
Huwezi kujua, ila walitoa taarifa kuwa Soon utajua upo database.Watu wanajuaje kama wako database?
Hongera mkuuuAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Hongera sana tena sanaAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Kuna received ina mwaka mmoja na mwezi mmojaKwakua kukaa data base ni mwaka mmoja na pia tunaomba na received nazo ziwe na kipindi maalumu sio unakaa miezi zaidi ya sita au mwaka ukisubili waite intavyuu
Mimi ndo nakwambia kuna jamaa yangu kachukuliwa kwenye data base kwenda trc mwezi wa sabaHao ni technicians si Engineers
Yaani upande wa Engineering hasa Engineers aisee ni miyeyusho sana utumishi
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Bro naomba vocha ya jero nilipe deni hapa.Ya kazi gani sasa namba yako Mkuu? Hahah! Kuafford?!!
Ila acha nikupe ushindi siwezi kuafford sina lolote.
Walofanya written wakafaulu ndo hao watakaofanya Practical InterviewWakuu naomba kuuliza. Ukifanya written interview, je kama kuna practical wana shortlist majina au wote waliofanya written wanafanya practical?
Upo sahihi sana, lakini ulipaswa kuongezea kuwa wizara ya afya ina ngazi tofauti ya hospitali na pia ina taasisi na mamlaka zilizo chini yake.Mishahara ya watumishi wa afya walioko serikali kuu (wizara ya afya) na serikali za mitaa (TAMISEMI) zinalingana.