Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kama jina likiwa kwenye database kwenye account ya PSR inaandika status ipi?
 
Inavyoonekana watu wa kada za afya aidha hawako wengi humu jukwaani au hawajasota sana hivyo kutokuona sababu ya kutoa shuhuda humu jukwaani
Kada ya Afya wamechukuliwa wengi sana, sidhani kama imewahi kutokea kwa pamoja kuchukuliwa wengi hivi.
Ila nadhani kutokana na aina ya watu wanaosomea afya sio watu mitandao. Ila ukiingia website ya ajira utaona walivyo wengi hivi majuzi.
 
Awali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Hongera kwa kulamba asali ukawe mtumishi muadilifu
 
Kwakua kukaa data base ni mwaka mmoja na pia tunaomba na received nazo ziwe na kipindi maalumu sio unakaa miezi zaidi ya sita au mwaka ukisubili waite intavyuu
 
Awali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Hongera sana tena sana
 
Kwakua kukaa data base ni mwaka mmoja na pia tunaomba na received nazo ziwe na kipindi maalumu sio unakaa miezi zaidi ya sita au mwaka ukisubili waite intavyuu
Kuna received ina mwaka mmoja na mwezi mmoja
 
Hao ni technicians si Engineers
Yaani upande wa Engineering hasa Engineers aisee ni miyeyusho sana utumishi
Mimi ndo nakwambia kuna jamaa yangu kachukuliwa kwenye data base kwenda trc mwezi wa saba
 
Awali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Wakuu naomba kuuliza. Ukifanya written interview, je kama kuna practical wana shortlist majina au wote waliofanya written wanafanya practical?
 
Mishahara ya watumishi wa afya walioko serikali kuu (wizara ya afya) na serikali za mitaa (TAMISEMI) zinalingana.
Upo sahihi sana, lakini ulipaswa kuongezea kuwa wizara ya afya ina ngazi tofauti ya hospitali na pia ina taasisi na mamlaka zilizo chini yake.

Watumishi wote wa kada za Afya waliopo wizarani (makao makuu), hospitali za mikoa, na wale waliopo Tamisemi wanalipwa mishahara yao kwa ngazi za TGHS, wote wanafanana mishahara yao.

Watumishi wa kada za Afya waliopo katika hospitali za kanda, hospitali maalum za kitaifa (Mirembe, Kibong'oto etc), na hospitali ya taifa wanalipwa kwa ngazi za mshahara za PGMSS ambazo zipo juu kuliko zile za TGHS.

Watumishi wa kada za afya waliopo katika taasisi na mamalaka zilizo chini ya wizara ya afya (NHIF, TMDA, MSD, NIMR etc) wanalipwa kwa scale za mishahara maalum kutegemeana na taasisi ama mamlaka husika, mara nyingi zipo juu kuliko za hospitali za hapo juu.
 
Back
Top Bottom