El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mtu unaweza ukang'ata simu 🤣 🤣 🤣Yaani hawa Kenge utumishi ,wamekuwa ni waalimu na manesi tu kila siku vipisi vipisi vya pdf ,bora wangewabakisha huko huko Tamisemi
Wanashindwa nini kutoa pdf moja na be done with it ,kuliko huu upuuzi wa kukata vipande visivyo na maana
we mzee wa swalaHivi Arusha ni duka gani wanauza nguo za michezo
Naam kaka😁we mzee wa swala
Nimeliwa kichwa mapema sana, hada dk 15 uwanjani sijacheza nimetolewa kwa red card. Dah!wazee wa TCRA vp kuna uwezekano wa kufika nchi ya ahadi??
redcard imetokeaje mkuu, tupe elimu tujifunzeNimeliwa kichwa mapema sana, hada dk 15 uwanjani sijacheza nimetolewa kwa red card. Dah!
Nimepigwa na kitu kizito. Wewe acha tu ndugu. PSRS ni makatili aiseeredcard imetokeaje mkuu, tupe elimu tujifunze
Asante sana mkuuHongera mkuuu
Pole nikujipanga upya mpaka kielewekeNimeliwa kichwa mapema sana, hada dk 15 uwanjani sijacheza nimetolewa kwa red card. Dah!
Nimetumia neno serikali kuu kwa sababu. Taasisi zilizo chini ya wizara ya afya wanasimama kama waajiri kwa hiyo hawa hatuwajumuishi kwenye maelezo.Upo sahihi sana, lakini ulipaswa kuongezea kuwa wizara ya afya ina ngazi tofauti ya hospitali na pia ina taasisi na mamlaka zilizo chini yake.
Watumishi wote wa kada za Afya waliopo wizarani (makao makuu), hospitali za mikoa, na wale waliopo Tamisemi wanalipwa mishahara yao kwa ngazi za TGHS, wote wanafanana mishahara yao.
Watumishi wa kada za Afya waliopo katika hospitali za kanda, hospitali maalum za kitaifa (Mirembe, Kibong'oto etc), na hospitali ya taifa wanalipwa kwa ngazi za mshahara za PGMSS ambazo zipo juu kuliko zile za TGHS.
Watumishi wa kada za afya waliopo katika taasisi na mamalaka zilizo chini ya wizara ya afya (NHIF, TMDA, MSD, NIMR etc) wanalipwa kwa scale za mishahara maalum kutegemeana na taasisi ama mamlaka husika, mara nyingi zipo juu kuliko za hospitali za hapo juu.
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuAwali yoyote nipende kuwashukuru wana jamiiforum kwa mawazo na hint mbalimbali toka mwanzo wa usahili na hatimae na mimi PDF zilizo toka jana jina langu limo hakika jamiiforum nisehem makini sana
Asante sana mkuuHongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
Inawezekana kama ukikutana na mkuu wa idara na afisa utumishi wazunguWakubwa namshukuru Mungu nami nimebahatika kulamba asali naamini Mungu ni mwema kwetu sote na kila mmoja kwa wakati wake naye atailamba asali
Sambamba na hilo nahitaji sana msaada wenu wakubwa kwani katika hizi harakati za kuendelea kusikilizia asali mimi niliona nichukue muda huo kuendelea na masomo kwa ngazi ya shahada ila hilo halikunizuia kujaribu bahati yangu nilipoona nafasi zimetangazwa na kwa bahati Mungu akajalia
Sasa mwaka huu ndio nimeingia mwaka wa mwisho wa masomo kwa ngazi hiyo ya shahada, nimesikia sikia story nyingi nyingi kuhusu uwezekano wa kuomba nafasi ya kumaliza masomo kisha kuingia kibaruani rasmi, ila sijaweza kupata maelezo yaliyonyooka kuhusu hilo ndipo nikaona ni vema niwaulize wataalamu humu ili mnisaidie mwongozo juu ya hilo au ufafanuzi zaidi ili nipate kuelewa, Natanguliza shukrani wakubwa
Sasa maana ya mchujo(Written) ni nini..Wakuu naomba kuuliza. Ukifanya written interview, je kama kuna practical wana shortlist majina au wote waliofanya written wanafanya practical?
Tatizo lilikuwa niniNimeliwa kichwa mapema sana, hada dk 15 uwanjani sijacheza nimetolewa kwa red card. Dah!
Ebu anzia kwa mwajiri kuuliza hili jambo atakupatia majibu sahihiWakubwa namshukuru Mungu nami nimebahatika kulamba asali naamini Mungu ni mwema kwetu sote na kila mmoja kwa wakati wake naye atailamba asali
Sambamba na hilo nahitaji sana msaada wenu wakubwa kwani katika hizi harakati za kuendelea kusikilizia asali mimi niliona nichukue muda huo kuendelea na masomo kwa ngazi ya shahada ila hilo halikunizuia kujaribu bahati yangu nilipoona nafasi zimetangazwa na kwa bahati Mungu akajalia
Sasa mwaka huu ndio nimeingia mwaka wa mwisho wa masomo kwa ngazi hiyo ya shahada, nimesikia sikia story nyingi nyingi kuhusu uwezekano wa kuomba nafasi ya kumaliza masomo kisha kuingia kibaruani rasmi, ila sijaweza kupata maelezo yaliyonyooka kuhusu hilo ndipo nikaona ni vema niwaulize wataalamu humu ili mnisaidie mwongozo juu ya hilo au ufafanuzi zaidi ili nipate kuelewa, Natanguliza shukrani wakubwa
wale wa online tumefanya kuchaguaHabarini za asubuhi, tupeni mrejesho mliofanya written, wale wa TBC, TCRA, DATA ANALYST, Benjamini hospital etc.
Je maswali yalikua ya kuchagua (aptitude test) au kuna kada baadhi mlifanya written ya kuandika mfano explain, define, mention etc