bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,379
- 2,392
duh! pole sanaMajina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..