Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kuuliza,nawezaje kupata card namba ya bima ya NHIF mana kadi nimeisahau mahali halafu nahitaji huduma ya haraka
 
Haujawahi kupata matibabu tangu upate hiyo kadi?

Kama umewahi huwa wanatuma sms ya kadi kutumika ambayo ina hizo namba, angalia kwenye sms utaona (mfano kwenye hii picha)

Kama bado hujawahi kuitumia hiyo kadi, basi fuata muongozo wa wadau hapo juu
Screenshot_20241110-124045.jpg
 
Hapo cha kukuombea ni Imani yako isitetereke baada ya kukandwa kwa maana ya urudi kuangazia received nyingine, maana hakuna kitu kigumu kama umetoka kukandwa kurudi mchezoni, hamna tofauti na timu ikiwa imefungwa
 
😁😁
 
Tulia tena ww una chance ya kupata uhakika oral ni mtanange mwingine apo mnaenda kuanza upya jiamini na ku focus

Pendeza si unajua kazi yenu.
unapoeleza swali la kwanza zingatia
1.jina
2.level ya elimu
3.proffessional experience related to the job
4.personal strength like flexibility

Ukija maswali mengine ata wakikwambia mention

Ukiulizwa swali toa definition ya key word afu ndio uanze ku mention point (muhimu sana APA)

Mengine mtangulize Mungu mimi nilifanya Ivo na nilipata placement mapema mno ya kwanza nilikosa nilikuwa siyajui haya
Nakubali bro, kama pamoja na kigugumizi changu nmefanikiwa Bc najimudu ngoja pakuche
 
Tulia tena ww una chance ya kupata uhakika oral ni mtanange mwingine apo mnaenda kuanza upya jiamini na ku focus

Pendeza si unajua kazi yenu.
unapoeleza swali la kwanza zingatia
1.jina
2.level ya elimu
3.proffessional experience related to the job
4.personal strength like flexibility

Ukija maswali mengine ata wakikwambia mention

Ukiulizwa swali toa definition ya key word afu ndio uanze ku mention point (muhimu sana APA)

Mengine mtangulize Mungu mimi nilifanya Ivo na nilipata placement mapema mno ya kwanza nilikosa nilikuwa siyajui haya
Ushauri mzuri, wengine tulifanya hivi pia interview ya kwanza na kulamba asali. JF Pazuri sana
 
Back
Top Bottom