Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
Naskia now umefikia lenta😄Mungu akuone Mbaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia now umefikia lenta😄Mungu akuone Mbaga
Saa moja maswali inategemea yanaweza kuwa 40 au 50Huwa yanakuwa mangapi na muda wanaweka dakika ngapi?
Soma kada yako kiundani mkuu, IT kitengo gani unataka?Naomba mwenye kujua source ya maswali ya written kwa kanda ya IT naomba.... Nasisi inshallah tuingie kundini
Haya wakuu, mm ndo niko kwa gari m 🙏
Mkuu ayo multiple choice inakuwa A mpaka D au A mpaka ESaa moja maswali inategemea yanaweza kuwa 40 au 50
Sanfoundry.comNaomba mwenye kujua source ya maswali ya written kwa kanda ya IT naomba.... Nasisi inshallah tuingie kundini
Programmer, system admin na data analystSoma kada yako kiundani mkuu, IT kitengo gani unataka?
Hapa umetaja vitengo vitatu tofauti. Lakini Maswali ni yale yale uliyosoma darasani hayatoki nje ya hapo. Pia kuna maswali ya scenario mf unauliza wewe ni softwarer developer umekutana na situation fulani kwenye kodi zako utachhukua hatua ganiProgrammer, system admin na data analyst
Kuahirisha niniHata mmi siwaelewi kwanini wanaairisha
Hii ni written au oral?Nimetoka salama kwenye mkando, kati ya maswali 7, nimejibu matatu vzr then hayo manne nimejibu nusu nusu
OralHii ni written au oral?
Hongera kaka.mungu akusaidie.Nimetoka salama kwenye mkando, kati ya maswali 7, nimejibu matatu vzr then hayo manne nimejibu nusu nusu
oyooo 😂 😂Pole jikaze, ndio ukubwa uo kuna kitu kizuri mbele yako jipange for next time. Aluta continua💪
hongera sanaNimetoka salama kwenye mkando, kati ya maswali 7, nimejibu matatu vzr then hayo manne nimejibu nusu nusu
Watumishi wa vyuo vikuu mpo humu. Posho huko zipo au ukame?