Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea uko
Sisi ufaulu wetu mtu akipiga sana wa kwanza ni 70 huanzia apo
 
Mkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea uko
Hawatabiriki wanaweza anzia hata tisini check kama hili
Screenshot_20241113-014546.png
 
Hawatabiriki wanaweza anzia hata tisini check kama hiliView attachment 3150863
written ya multiple chice online siyo mizuri ,ukiondoa ICT ambayo wanakazaga sana,hizi kada zingine watu wanapasua sana mpaka mwenye 93 anaachwa bora pepa za kuandika tu hakuna kuotea hapo wengine wamepiga hana hana do lakini kajikuta ana 90
 
Mkuu Consultancy hizo si wanapata maprofesa na madokta wenye majina tu, Kwahiyo mimi ninaeanza Kama tutorial nitapiga miayo sana.
Ukiondoa consultancy hakuna maokoto mengine ?

Kuna consultancy za kawaida za dola 2000 au 3000 kwa mwezi na maTA wengi walio vizuri kwenye maeneo yao wanazipata.

Maokoto mengine si supervision za field kwa wanafunzi mwisho wa mwaka, kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vingine kazi zao za research, kama kazi yako ni lab based unaweza pia kuwa unafanya analysis za sample kutoka nje.

Maokoto mengine ni kutafuna madawili wa madarasa ambayo hufundishi 😁​
 
Mimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
 
Poleni sana Mkuu
Lakini kama wangelitambua hilo jambo na kulitafakari kwa upana wake wasingetoa ayo matokeo ili kuwapa nafasi ya kufanya tena au wangefanya standardization angalau kwa factor ya 10 au 15 nadhani ingekuwa na tija
 
Kutafuta kazi za mfumo rasmi hasa serikalikalini haijwai kuwa rahisi ata siku moja hawawez zingatia ayo cha ajabu matokeo yakitoka watu watapasua vibaya mno wewe utaonekana muongo tu
 
Back
Top Bottom