Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamaa yangu alinipa ripoti mwanzoni mwa mwaka huu kuwa kule kuna mafursa kibao. Nimeona bora nijilipue tu kutafuta maisha kwingineko huku hizi ajira za kusubiri miezi sita halafu unaishi kwa matumaini nitajaribu kipindi kingine.
mkuu subiri kwanza upige ya TBC ndo ujilipue, kujilipua ni muhimu kwetu sisi vijana, "life begin at the end of comfort zone"
 
Mh ila sio IT wanatoaga PRAC ngumu jamanii mh. Naona ya TCRA ya Leo walotoa walofanya PRAC Jana data scientist wote not selected
sasa huyu jamaa wa data analyst aliyepita mmoja si ndo tayari kashalamba asali
 
Mimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
Pole sana ila tu nikukumbushe hua hairudiwi
 
Back
Top Bottom