Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kuuliza,nawezaje kupata card namba ya bima ya NHIF mana kadi nimeisahau mahali halafu nahitaji huduma ya haraka
 
Naomba kuuliza,nawezaje kupata card namba ya bima ya NHIF mana kadi nimeisahau mahali halafu nahitaji huduma ya haraka
Haujawahi kupata matibabu tangu upate hiyo kadi?

Kama umewahi huwa wanatuma sms ya kadi kutumika ambayo ina hizo namba, angalia kwenye sms utaona (mfano kwenye hii picha)

Kama bado hujawahi kuitumia hiyo kadi, basi fuata muongozo wa wadau hapo juu
 
Hapo cha kukuombea ni Imani yako isitetereke baada ya kukandwa kwa maana ya urudi kuangazia received nyingine, maana hakuna kitu kigumu kama umetoka kukandwa kurudi mchezoni, hamna tofauti na timu ikiwa imefungwa
 
😁😁
 
Nakubali bro, kama pamoja na kigugumizi changu nmefanikiwa Bc najimudu ngoja pakuche
 
Ushauri mzuri, wengine tulifanya hivi pia interview ya kwanza na kulamba asali. JF Pazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…