Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mliofanya usaili hivi karibuni, mmefanyia online (Kwa kutumia computer) au hard copy? Na vipi kuhusu nature of the questions; ni essay based questions au objective (Multiple choice questions)?
 
Nimetoka salama kwenye mkando, kati ya maswali 7, nimejibu matatu vzr then hayo manne nimejibu nusu nusu
unaweza tupa Hints za maswali uliyoulizwa??
I mean km unayakumbuka maswali uliyoulizwa unaweza share na sis coz kuna watu weng sana wanasubir interview and japo kada ni tofaut but maswali yako yanaweza saidia watu kucreate picture on how questions come and how they can organize themselves for their interview
so shusha maswali hapo if you don't mind
 
Reactions: jb_
Maswali yangu yamebase kwenye Tv production mana ndio nmesomea mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…