Nlikandwa kaka na kihereheere changu kujifanya mtelecomunist😂😂wacha nisubir zinazonihusu aseekimya injinia vp practical ya trc utakuepo au ulikandwa
Mkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea ukoWakuu watuite tu interview
Sisi ufaulu wetu mtu akipiga sana wa kwanza ni 70 huanzia apoMkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea uko
Oooh basi ni vyema pambania ili iyo 70 iwe Yako MkuuSisi ufaulu wetu mtu akipiga sana wa kwanza ni 70 huanzia apo
Mkuu mimi niingie oral tuOooh basi ni vyema pambania ili iyo 70 iwe Yako Mkuu
Hawatabiriki wanaweza anzia hata tisini check kama hiliMkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea uko
😂 😂 😂 naskia pepa lilikua full dspNlikandwa kaka na kihereheere changu kujifanya mtelecomunist😂😂wacha nisubir zinazonihusu asee
Duuuh hii Sasa kali mpaka mwenye 90+ ameachwa je sisi tunatamani kuvuka 50 tu si ndio itakuwa ndoto kupata kazi..🤔Hawatabiriki wanaweza anzia hata tisini check kama hiliView attachment 3150863
written ya multiple chice online siyo mizuri ,ukiondoa ICT ambayo wanakazaga sana,hizi kada zingine watu wanapasua sana mpaka mwenye 93 anaachwa bora pepa za kuandika tu hakuna kuotea hapo wengine wamepiga hana hana do lakini kajikuta ana 90Hawatabiriki wanaweza anzia hata tisini check kama hiliView attachment 3150863
Mkuu Consultancy hizo si wanapata maprofesa na madokta wenye majina tu, Kwahiyo mimi ninaeanza Kama tutorial nitapiga miayo sana.Watumishi wa chuo buku pesa ipo kwenye consultancy. Ukiwa chuma vizuri.
Mkuu Consultancy hizo si wanapata maprofesa na madokta wenye majina tu, Kwahiyo mimi ninaeanza Kama tutorial nitapiga miayo sana.
Ukiondoa consultancy hakuna maokoto mengine ?
Mh ila sio IT wanatoaga PRAC ngumu jamanii mh. Naona ya TCRA ya Leo walotoa walofanya PRAC Jana data scientist wote not selected
Duuuh noma sana bora ata iyo nyingine amepita mmojaMh ila sio IT wanatoaga PRAC ngumu jamanii mh. Naona ya TCRA ya Leo walotoa walofanya PRAC Jana data scientist wote not selected
Mkuu apo ndio nitolee labda watangaze tena nafasi upya lkn sio kurudia paper kwa watu walio fanya tayariHapo inakuwaje wanarudia pepa au wanafanyaje.
AiseeMkuu apo ndio nitolee labda watangaze tena nafasi upya lkn sio kurudia paper kwa watu walio fanya tayari
Poleni sana MkuuMimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
Kutafuta kazi za mfumo rasmi hasa serikalikalini haijwai kuwa rahisi ata siku moja hawawez zingatia ayo cha ajabu matokeo yakitoka watu watapasua vibaya mno wewe utaonekana muongo tuPoleni sana Mkuu
Lakini kama wangelitambua hilo jambo na kulitafakari kwa upana wake wasingetoa ayo matokeo ili kuwapa nafasi ya kufanya tena au wangefanya standardization angalau kwa factor ya 10 au 15 nadhani ingekuwa na tija