Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamaa yangu alinipa ripoti mwanzoni mwa mwaka huu kuwa kule kuna mafursa kibao. Nimeona bora nijilipue tu kutafuta maisha kwingineko huku hizi ajira za kusubiri miezi sita halafu unaishi kwa matumaini nitajaribu kipindi kingine.
mkuu subiri kwanza upige ya TBC ndo ujilipue, kujilipua ni muhimu kwetu sisi vijana, "life begin at the end of comfort zone"
 
Mh ila sio IT wanatoaga PRAC ngumu jamanii mh. Naona ya TCRA ya Leo walotoa walofanya PRAC Jana data scientist wote not selected
sasa huyu jamaa wa data analyst aliyepita mmoja si ndo tayari kashalamba asali
 
Pole sana ila tu nikukumbushe hua hairudiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…