Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inaonekana IT wanakaza sana.naona prac wangekuwa wanatoa vitu basic tu then mtu akiajiriwa si atakula training.
Yote hayo wanapunguza idadi ya watu wengi kukaa database wanajua ajira zenyewe zinakuja kama msimu wa mvua....
 
Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
System huwa inajichanganya sometimes usiende kwa kuwa watakagua tena kuke then utakuwa umeingia gharama kaka
 
Kwa waliofanya written interview ya Tutorial Assiatant hivi karibuni vipi mtihani unafanyika kwenye mfumo wa computer au tunaandika kama zamani?
 
Mimi nina 3.6 nilishawahi kuomba tutorial mwalimu nyerere nilikuwa shortlisted lakini kwenye interview walinizingua sikufanya walikuwa wameweka minimum 3.8
Vipi na ajira za serikali, wana cutting point GPA, mfano TRA, GCLA (kwa mkemia), TBS etc.
 
Huyu jamaa anaepiga chabo hapo sio Rahsully kweli? Na bado wakalambishwa mchanga 😂

Screenshot_20241115-142742.png


Screenshot_20241115-142752.png


Screenshot_20241115-142808.png
 
Hongereni aise.. naona mmetoka kwenye TGS sasa bila shaka..

Bila shaka hii SAISS ni asali tamu ya nyuki wadogo wadogo kutoka Tabora.[emoji23]
Usitishwe na hiyo kitu mkuu, kichwaji ni kile kile ila kipo kwenye chupa mpya
 
Back
Top Bottom