Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kama kuna mtu humu amefanya practical interview tcra kwa kada ya engineer ii ningependa kufahamu ilivyokua.
 
Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au

Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Uhakiki utaendelea, hapo sio mwisho wake, kama GPA haijafika itakuletea shida
 
Kwa waliofanya written interview ya Tutorial Assiatant hivi karibuni vipi mtihani unafanyika kwenye mfumo wa computer au tunaandika kama zamani?
Kwa experience yangu vyuoni ni kuandika sio kwenye mfumo
 
H
Huyu jamaa anaepiga chabo hapo sio Rahsully kweli? Na bado wakalambishwa mchanga 😂

View attachment 3152977

View attachment 3152978

View attachment 3152979
Hahaaaa mambo ya motor starter hayo bila shaka ,naona contactors ,push button hizo na circuit breakers na mazaga mengine kibao hapo , El marabiosh ,unazikumbuka direct on line , star delta starter ,auto transformer starter ,Rotor resistance starter ,Stator resistance starter nk
Siku wakikuita kwenye practical jiandae na hayo madude ,kiufupi Electrical machines ndio huwa ina practicals nyingi kwa degree ya uhandisi umeme .
Ila hizi practicals najua hapo wengi lazima watakula mweleka ,kama haufanyi kazi ni ngumu kukumbuka haya madude na connections zake ,ukizingatia wengi wanaofanya hizi interviews ni jobless
 
Back
Top Bottom