Utapoteza muda wako bureWakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Sawa mkuu wacha ni chillUtapoteza muda wako bure
Mimi nina 3.6 nilishawahi kuomba tutorial mwalimu nyerere nilikuwa shortlisted lakini kwenye interview walinizingua sikufanya walikuwa wameweka minimum 3.8Sawa mkuu wacha ni chill
System huwa inajichanganya sometimes usiende kwa kuwa watakagua tena kuke then utakuwa umeingia gharama kakaWakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
TA masomo gani wameita kaka?Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
TA masomo gani wameita kaka?Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Nimekupata mkuuMimi nina 3.6 nilishawahi kuomba tutorial mwalimu nyerere nilikuwa shortlisted lakini kwenye interview walinizingua sikufanya walikuwa wameweka minimum 3.8
Vipi na ajira za serikali, wana cutting point GPA, mfano TRA, GCLA (kwa mkemia), TBS etc.Mimi nina 3.6 nilishawahi kuomba tutorial mwalimu nyerere nilikuwa shortlisted lakini kwenye interview walinizingua sikufanya walikuwa wameweka minimum 3.8
Hapana.Vipi na ajira za serikali, wana cutting point GPA, mfano TRA, GCLA (kwa mkemia), TBS etc.
Vipi na ajira za serikali, wana cutting point GPA, mfano TRA, GCLA (kwa mkemia), TBS etc
Usitishwe na hiyo kitu mkuu, kichwaji ni kile kile ila kipo kwenye chupa mpyaHongereni aise.. naona mmetoka kwenye TGS sasa bila shaka..
Bila shaka hii SAISS ni asali tamu ya nyuki wadogo wadogo kutoka Tabora.[emoji23]
accounting with Information Technology inaenda kutamba sasa.
Kwahiyo hii na TGS hamna tofauti mkuu?Usitishwe na hiyo kitu mkuu, kichwaji ni kile kile ila kipo kwenye chupa mpya
π π chabo kwenye hayo mambo unaweza kulipua chumba cha mtihaniHuyu jamaa anaepiga chabo hapo sio Rahsully kweli? Na bado wakalambishwa mchanga π
View attachment 3152977
View attachment 3152978
View attachment 3152979
NdioKwahiyo hii na TGS hamna tofauti mkuu?