Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 201
- 208
Hao NSSF sio ndoto zetu kwa maana wanavyo ajiri wanajua wenyewe huko na familia zao, sijawahi kuona wametoa ajira Utumishi wale jamaa kule ni mwendo wa vilemba tu.wazee wanacheka Pdf zilizopo ni za Halmashauri za Buhigwe, Mlele, Kasulu, Newala, Namtumbo, Busokelo na vijana wana ndoto za kwenda NSSF, TRA NHIF, TBS, HAZINA, MUHIMBILI, NIMR Mambo ni zigzaga........
Kuna pdf la Nanyumbu vipi waliachie?Hao NSSF sio ndoto zetu kwa maana wanavyo ajiri wanajua wenyewe huko na familia zao, sijawahi kuona wametoa ajira Utumishi wale jamaa kule ni mwendo wa vilemba tu.
AchiaKuna pdf la Nanyumbu vipi waliachie?
Acha kutetea ujinga na kama wewe ni muongoni mwa hao wazee hapo juu kwenye picha ,, hebu jaribu kuwakumbusha wazee wenzio juu ya swala la kustaafu kwa kweli mnatia aibuu kuendelea kung'ang'ania hapo ofisini mwishoni mfie humoMkuuu punguza makasiriko mkuu utaitwa na utakandwa
Waliachie tu hatuna namna sisi jobless, maana hizo Taasisi hatu wawezi, hapa tz kuna Taasisi kama hao NSSF unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini na wapi ila watumishi wapya wapo kule..🤔 hapo ndio utakapo shangaa naku shangazwa sasa..😃Kuna pdf la Nanyumbu vipi waliachie?
Mkuu walidanganya umri hao saiv wana 47 wote🤣🤣😂Acha kutetea ujinga na kama wewe ni muongoni mwa hao wazee hapo juu kwenye picha ,, hebu jaribu kuwakumbusha wazee wenzio juu ya swala la kustaafu kwa kweli mnatia aibuu kuendelea kung'ang'ania hapo ofisini mwishoni mfie humo
Hii sentence “unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini” 😂 , labla soon nssf watangaza nafasi za ajira kufuta huu mtazamoWaliachie tu hatuna namna sisi jobless, maana hizo Taasisi hatu wawezi, hapa tz kuna Taasisi kama hao NSSF unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini na wapi ila watumishi wapya wapo kule..🤔 hapo ndio utakapo shangaa naku shangazwa sasa..
WAKUU NIJIBUNI HII KITU.Wazee,hivi inaruhusiwa watu wenye mahusiano ya karibu kama ndugu,wapenzi n.k. kufanyishana interview?
Mfano mtu kumfanyisha mpenzi wako interview ukiwa panelist?
Ni sawa Hilo?
Kuna matukio yametokea wiki hii nataka kupata uelewa.
Hairuhusiwii lkn inaweza kutokeaWAKUU NIJIBUNI HII KITU.
KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA.
Hazina tofauti sana japo kimatumizi zinatofautia.Hivi utofauti wa minimum and at least kwenye gpa nini