Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

wazee wanacheka Pdf zilizopo ni za Halmashauri za Buhigwe, Mlele, Kasulu, Newala, Namtumbo, Busokelo na vijana wana ndoto za kwenda NSSF, TRA NHIF, TBS, HAZINA, MUHIMBILI, NIMR Mambo ni zigzaga........
Hao NSSF sio ndoto zetu kwa maana wanavyo ajiri wanajua wenyewe huko na familia zao, sijawahi kuona wametoa ajira Utumishi wale jamaa kule ni mwendo wa vilemba tu.
 
Kuna pdf la Nanyumbu vipi waliachie?
Waliachie tu hatuna namna sisi jobless, maana hizo Taasisi hatu wawezi, hapa tz kuna Taasisi kama hao NSSF unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini na wapi ila watumishi wapya wapo kule..🤔 hapo ndio utakapo shangaa naku shangazwa sasa..😃
 
470244410_582764777728460_6543351353342196699_n.jpg

Tusameheni babu zetu kumbe mlikua mnaandaa pdf fanyeni hivyo bas na kesho
 
Acha kutetea ujinga na kama wewe ni muongoni mwa hao wazee hapo juu kwenye picha ,, hebu jaribu kuwakumbusha wazee wenzio juu ya swala la kustaafu kwa kweli mnatia aibuu kuendelea kung'ang'ania hapo ofisini mwishoni mfie humo
Mkuu walidanganya umri hao saiv wana 47 wote🤣🤣😂
 
Waliachie tu hatuna namna sisi jobless, maana hizo Taasisi hatu wawezi, hapa tz kuna Taasisi kama hao NSSF unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini na wapi ila watumishi wapya wapo kule..🤔 hapo ndio utakapo shangaa naku shangazwa sasa..
Hii sentence “unaweza ishi mpaka ukafa na usijue kazi walitangaza lini” 😂 , labla soon nssf watangaza nafasi za ajira kufuta huu mtazamo
 
Wazee,hivi inaruhusiwa watu wenye mahusiano ya karibu kama ndugu,wapenzi n.k. kufanyishana interview?

Mfano mtu kumfanyisha mpenzi wako interview ukiwa panelist?

Ni sawa Hilo?

Kuna matukio yametokea wiki hii nataka kupata uelewa.
 
Wazee,hivi inaruhusiwa watu wenye mahusiano ya karibu kama ndugu,wapenzi n.k. kufanyishana interview?

Mfano mtu kumfanyisha mpenzi wako interview ukiwa panelist?

Ni sawa Hilo?

Kuna matukio yametokea wiki hii nataka kupata uelewa.
WAKUU NIJIBUNI HII KITU.
KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA.
 
Hivi utofauti wa minimum and at least kwenye gpa nini
Hazina tofauti sana japo kimatumizi zinatofautia.

1. Minimum

Ina maanisha kiwango/kiasi kidogo kinachohitajika au kukubalika.

2. At least

Ina maanisha kiwango/kiasi kisiwe chini ya kiwango/kiasi fulani. Mara nyingi huonesha kiwango kinachokubalika ni zaidi ya hicho alichotaja
 
Back
Top Bottom