Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 201
- 208
Hao NSSF sio ndoto zetu kwa maana wanavyo ajiri wanajua wenyewe huko na familia zao, sijawahi kuona wametoa ajira Utumishi wale jamaa kule ni mwendo wa vilemba tu.wazee wanacheka Pdf zilizopo ni za Halmashauri za Buhigwe, Mlele, Kasulu, Newala, Namtumbo, Busokelo na vijana wana ndoto za kwenda NSSF, TRA NHIF, TBS, HAZINA, MUHIMBILI, NIMR Mambo ni zigzaga........