Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwahio walio omba kazi hivi karibuni waji andae tu na wao kuitwa kwenye usahili mwezi wa saba maana kazi ipo inavyo onekana kule..πŸ˜„
Wanaweza kuitwa ata baada ya mwezi mmoja mbona kuna kazi zimetangazwa mwez wa kumi na washafanya tayar
 
Endeleeni kusoma mjiandae vyema hakuna kitu kinauma kama kukamdwa imagine umesubili muda wote huu. Interview unaitwa unaishia written mazee

Unaona unachelewa kuitwa ila ukiitwa zibakia siku mbili kabla ya mkando unajiona namna gani haujajiandaa vizuri..
 
Tukizimiss sana shuhuda za hivi.

Umetufungulia mwaka kwa shuhuda nzuri sana.

Hongera sana kwa kupambana, pia hongera sana kwa kuingia kundini.

Kila la kheri ukawe mtumishi mwema.

Kwa ambao bado mpo kwenye foleni, slogan ni ile ile, hakikisha unaongeza received kama una sifa, hakikisha unahudhuria mkando bila kukosa, hakikisha unapambana hadi Oral then muachie mgawa riziki afanye yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…