Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona CBE wameamua kuajili wenyewe sasa tangazo limetolewa lkn kwenye mfumo wa ajira portal halijawekwa .
 
Hivi kama umepangiwa written Interview na haujaenda kufanya kwa sababu zozote zile. Utakuwa blacklisted na mfumo?
 
Walimu hawajazoea mikando.😅😅😅
 
Attachments

  • IMG-20250116-WA0018.jpg
    IMG-20250116-WA0018.jpg
    31.6 KB · Views: 5
Huwezi kufanya huo mchakato bila KIBALI kutoka Kwa katibu mkuu utumishi
Ingia kwenye web site ya sekretarit kwenye update pale wanapo weka matangazo. Utaliona hilo tangazo lakini kwenye mfumo wa maombi ndan hazipo hizo nafasi. Na anauni sio ya katibu wa utumishi ni ya kwao mkuu ina maana unapeleka kwa mkono au njia ya posta
 
Je kwa mtu mwenye majina mawili tu kwenye vyeti vya Taaluma (mfano: Adam Kiberenge), na majina matatu kwenye vitambulisho like NIDA, vote ID (mfano: Adam Shija Kiberenge), hapo kutakuwa na shida yoyote ?
Wengine hapa tuna majina mawili F4 na F6, ila chuo yapo majina matatu na tumefanya zaidi ya interview tano psrs hadi tumepita haijawahi leta shida.

Cheti cha kuzaliwa kitaonesha jina la Baba ni Shija Kiberenge.

Labda kama siku hizi wameanza kuleta shida kwasbabu mambo hubadirika.

Tembelea sana Akaunti zao za Twitter, facebook, instagram huwa wanatoa ufafanuzi wa haya maswali, Unaweza choma pesa yako kutafuta kitu hakihitajiki.
 
Ingia kwenye web site ya sekretarit kwenye update pale wanapo weka matangazo. Utaliona hilo tangazo lakini kwenye mfumo wa maombi ndan hazipo hizo nafasi. Na anauni sio ya katibu wa utumishi ni ya kwao mkuu ina maana unapeleka kwa mkono au njia ya posta
Nimeona ila sijajua hili utaratibu wa kutuma ukoje Kuna zile nafasi za BOT address ilikuwa pia sio ya katibu mkuu lakini maombi ulikuwa unatumika kupitia ajira portal hukohuko
 
Nimeona ila sijajua hili utaratibu wa kutuma ukoje Kuna zile nafasi za BOT address ilikuwa pia sio ya katibu mkuu lakini maombi ulikuwa unatumika kupitia ajira portal hukohuko
Umeona lkn hii ipo tofauti wameona watacheleweshwa sana
 
Mkuu ishu ya walimu haitakuwa rahusi nimemsikia waziri mwenye dhamana akisema wezalisha idadi ya waalimu mamia kwa ma elfu kuliko mahitaji. Ina maana hao waalimu waishe sisi wa august inaweza kata mwaka mkuu.

Bado zile nafasi nyingne za watu wawili. Post ya mtu mmoja na nyingine ni nying kwa kifupi sekretariat wamezidiwa mzigo ni mkubwa

Hii ya waalimu watakao faulu written wachukue cutting point mpaka 70 moja kwa moja wapewe vituo ni wazo langu tu. Kuliko kuendeleza mpaka oral
Jamaa ina onekana mzigo wa mchakato wa ajira umesha kuwa kipengele kwao kwa hii hali inavyo kwenda hivi sasa mkuu.🤔
 
Back
Top Bottom