Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nafasi moja inagombaniwa na watatu boss kama zipo 10 mtaitwa 30 oral
ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.

msaada wa ufafanuzi hapa
 
sor katika 12 means kulipaswa kuwe na nafasi 4
 
ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.

msaada wa ufafanuzi hapa
Cutting point ilikua na ufauli wa juu au wastani mfano wa kwanza may be akawa ka score 64 wapili na watatu wakafungana alama walio baki wote waka score 50 apo inaamana lazima wachukue wote tu bila kujali idad ya nafasi
 
mtu wa kwanza alikuwa na 68 wa mwisho katika hyo list ya ppl 12 alikuwa na 56
Waliiita nusu. Nusu zilibaki ikiwemo cooperative officer, afisa kilimo, H.rs na wengine bado hawajaita
ok ngoj tuendelee kusubiri japo nililiwa kichwa hzo za lga
 
ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.

msaada wa ufafanuzi hapa
Kama mfano wa kwanza ana 80 (candidates 4 wakascore 80, 4 wakascore 75 na 4 wakascore 70). Utumishi kichagua kuanzia 70 it means watachukua candidates 12.
 
Hivi yule jamaa alikua anatoa updates possible za psprs mbali mbali alisepelea wapi aisee?? Tujue MDAs na LGAs batch ya pili inatoka lini
Tunaelekea mwisho wa mwaka wa budget kwa dalili zinavyoonekana....
Ni neema ya Mungu Tu akatende kama wataita
Budget inayoisha kipaumbele kilikuwa watu wa Account wengi na Procument ukija kwenye Usail Procument tayari....
Hapo inaonyesha walimu ndo wanaenda kufunga mwaka wa budget hizo saili ni mwaka mwingine wa Budget
 
hamna mkuu. Ni hivi budget haiwezi kuwa kikwazo sana. Waalimu budget yao ilikuepo na wote kazi zilitongazwa budget zao zipo unataniambia hata B.O.T kazi zao zitasubiri mwaka wa fedha 25/26 unaonza july??

Kuna jamaa kasema huwa ni kawaida kukaa muda mrefu wanasema MDAs na LGAs za 2022 zilichukua miez 7-8 kuita watu usaili

Nazan watakuwa wanamalizana na ma teacher kwanza naona wanalia lia kila wakati kwenye ma group ukoo
 
Back
Top Bottom