Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Wa 9 hakutakuwa na usaili tutakuwa busy kumchagua mkuu wa Nchiusahili unaofuata ni mwezi wa tisa tena ni wapishi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa 9 hakutakuwa na usaili tutakuwa busy kumchagua mkuu wa Nchiusahili unaofuata ni mwezi wa tisa tena ni wapishi🤣🤣
Sure..Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....Sure..
Kikubwa tujiandaeni wakianza kuzifungua zitakua ni mfukulizo mtu ukiwa umejiandaa vyema inakusaidia..
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
Mkuu tuliza makasiriko fikiri kabla ya kuongea mkuu. Hao watoto kila mwaka wanao kwa ma elfu ya ajira nchini, watoto wao ni mainjinia wote, maafisa tawala wote, maafisa ustawi wa jamii, wamesomea kila kitu??Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...Mkuu tuliza makasiriko fikiri kabla ya kuongea mkuu. Hao watoto kila mwaka wanao kwa ma elfu ya ajira nchini, watoto wao ni mainjinia wote, maafisa tawala wote, maafisa ustawi wa jamii, wamesomea kila kitu??
Jiandae vizur wenzio wanalamba asali kila kukicha bila kujitolea bila connection kwa 1st pdf toka afanye usail.
Kwanza umesomea nini na level ipi mkuu??
😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....😆😆 mkuu sio kila kinachozungumzwa bungeni kina enda into fruition. Hapo walaumu serikali, PSRS wao ni kupokea vibali na kutafuta talents basi.
Mkuu kwaio wanapita bila saili sio😂😂🤣Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...
Psrs ya mapambio na kusafisha mioyo ya vijana wenye vidonda ilikuwa 2022 kurudi nyuma na unaona lakani ya sasa 😪😪....
Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...
Psrs ya mapambio na kusafisha mioyo ya vijana wenye vidonda ilikuwa 2022 kurudi nyuma na unaona lakani ya sasa 😪😪....
Na za waalimu mkuu😅🤣🤣😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....
Mlifanya usaili lini?Wanaosubiria pdf mda&lga kada ya cooperative officer tujuane hapa..
Ila waliongiza watoto wao kwa mpako wa kujitolea na wenye mkataba wamejaandaa vinzuri et kiongozi.....Usipo jiandaa vizuri kila siku utaona kama unaonewa
😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....
yatakuja mkuu soon,tuendelee na maandalizi huku ukiyasubiri ili ufanye wonders kwenye written na oral kisha kazinimmh sasa hivi ma pdf ya interview yamekua dhahabu
mmhh isije kua mwakaniyatakuja mkuu soon,tuendelee na maandalizi huku ukiyasubiri ili ufanye wonders kwenye written na oral kisha kazini
😀😀😀😀😀.....🙏Maandalizi mazuri na bahati. Haya mkuu, endelea kujiandaa vizuri bahati yako ikifika utapata asali ya kutosha kwenye mtaasisi mzito. Uzuri nyie watu wa manunuzi mnafit kila kona. Unaweza kula kitengo TBS, TPA, TPDC, NSSF, TANESCO, TARURA, TAWA, TFS, WCF, EGA, na mazaga mengine mengi yenye asali ya kukata na mundu. See you at te top champ, acha makasiriko.
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
Maandalizi mazuri na bahati. Haya mkuu, endelea kujiandaa vizuri bahati yako ikifika utapata asali ya kutosha kwenye mtaasisi mzito. Uzuri nyie watu wa manunuzi mnafit kila kona. Unaweza kula kitengo TBS, TPA, TPDC, NSSF, TANESCO, TARURA, TAWA, TFS, WCF, EGA, na mazaga mengine mengi yenye asali ya kukata na mundu. See you at te top champ, acha makasiriko.