Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hamna mkuu. Ni hivi budget haiwezi kuwa kikwazo sana. Waalimu budget yao ilikuepo na wote kazi zilitongazwa budget zao zipo unataniambia hata B.O.T kazi zao zitasubiri mwaka wa fedha 25/26 unaonza july??

Kuna jamaa kasema huwa ni kawaida kukaa muda mrefu wanasema MDAs na LGAs za 2022 zilichukua miez 7-8 kuita watu usaili

Nazan watakuwa wanamalizana na ma teacher kwanza naona wanalia lia kila wakati kwenye ma group ukoo
Tunaelekea kwenye uchaguzi Kiongozi......
Ukipita huu.....
Ndo maana mkeka wa juzi walitoa database 2023
 
kweupeeee😂🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20250121-173024_Chrome.jpg
    Screenshot_20250121-173024_Chrome.jpg
    257.6 KB · Views: 5
Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini
Apo kwanza ncheke mkuu hii imeenda waalimu ndio siasa mkuu CCM kidumu chama cha mapinduzi!!
 
Back
Top Bottom