Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.

Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?

Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
UPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.
 
haka kalichosuka kameshapata kazi.🤣🤣
474129859_605945485410389_1338841321151196804_n.jpg
 
Back
Top Bottom