Sys-root
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 365
- 548
😂😂😂😂haka kalichosuka kameshapata kazi.🤣🤣
View attachment 3207747
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂haka kalichosuka kameshapata kazi.🤣🤣
View attachment 3207747
Boss wangu hivi ratio ya 1:3 kwenye oral inatumika pia?Bora hivi ili mtu aendelee na harakati zingine, sio ile kusubirishana kwa muda kwenye zoazoa halafu ukaja kukuta haujapata nafasi
Ebu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oralBoss wangu hivi ratio ya 1:3 kwenye oral inatumika pia?
ok ngoja nicountercheckEbu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oral
walio selected ni wengi zaidiEbu angalia nafasi za Walimu zilikuwa ngapi kwa Mwalimu daraja la IIIB then uangalie walioitwa kwenye oral
Nafasi moja inagombaniwa na watatu boss kama zipo 10 mtaitwa 30 oralwalio selected ni wengi zaidi
ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.Nafasi moja inagombaniwa na watatu boss kama zipo 10 mtaitwa 30 oral
sor katika 12 means kulipaswa kuwe na nafasi 4ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.
msaada wa ufafanuzi hapa
ukipiga hiyo ratio ya 1:3sor katika 12 means kulipaswa kuwe na nafasi 4
kumbe kuna batch 2 two🙏🙏 au ndo zile za tamisemi za mkatabaHivi yule jamaa alikua anatoa updates possible za psprs mbali mbali alisepelea wapi aisee?? Tujue MDAs na LGAs batch ya pili inatoka lini
Cutting point ilikua na ufauli wa juu au wastani mfano wa kwanza may be akawa ka score 64 wapili na watatu wakafungana alama walio baki wote waka score 50 apo inaamana lazima wachukue wote tu bila kujali idad ya nafasiok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.
msaada wa ufafanuzi hapa
Waliiita nusu. Nusu zilibaki ikiwemo cooperative officer, afisa kilimo, H.rs na wengine bado hawajaitakumbe kuna batch 2 two🙏🙏 au ndo zile za tamisemi za mkataba
mtu wa kwanza alikuwa na 68 wa mwisho katika hyo list ya ppl 12 alikuwa na 56Cutting point ilikua na ufauli wa juu au wastani mfano wa kwanza may be akawa ka score 64 wapili na watatu wakafungana alama walio baki wote waka score 50 apo inaamana lazima wachukue wote tu bila kujali idad ya nafasi
ok ngoj tuendelee kusubiri japo nililiwa kichwa hzo za lgaWaliiita nusu. Nusu zilibaki ikiwemo cooperative officer, afisa kilimo, H.rs na wengine bado hawajaita
Kama mfano wa kwanza ana 80 (candidates 4 wakascore 80, 4 wakascore 75 na 4 wakascore 70). Utumishi kichagua kuanzia 70 it means watachukua candidates 12.ok asante boss sor kuna taasisi walitangaza nafasi moja ya kazi written tukafanya 128, oral tukafaulu 12 ukipiga hyo ratio ya 1:3 means kunatakiwa kuwe na nafasi nane sasa najiuliza hzo nafasi saba watazitoa wapi maana ukisema 1:3 means oral wangeenda watatu tu.
msaada wa ufafanuzi hapa
kwenye oral au?Kama mfano wa kwanza ana 80 (candidates 4 wakascore 80, 4 wakascore 75 na 4 wakascore 70). Utumishi kichagua kuanzia 70 it means watachukua candidates 12.
Kivip mkuu hukuambatanisha viambata au uli fail writtenmtu wa kwanza alikuwa na 68 wa mwisho katika hyo list ya ppl 12 alikuwa na 56
ok ngoj tuendelee kusubiri japo nililiwa kichwa hzo za lga
Tunaelekea mwisho wa mwaka wa budget kwa dalili zinavyoonekana....Hivi yule jamaa alikua anatoa updates possible za psprs mbali mbali alisepelea wapi aisee?? Tujue MDAs na LGAs batch ya pili inatoka lini
hamna mkuu. Ni hivi budget haiwezi kuwa kikwazo sana. Waalimu budget yao ilikuepo na wote kazi zilitongazwa budget zao zipo unataniambia hata B.O.T kazi zao zitasubiri mwaka wa fedha 25/26 unaonza july??Tunaelekea mwisho wa mwaka wa budget kwa dalili zinavyoonekana....
Ni neema ya Mungu Tu akatende kama wataita
Budget inayoisha kipaumbele kilikuwa watu wa Account wengi na Procument ukija kwenye Usail Procument tayari....
Hapo inaonyesha walimu ndo wanaenda kufunga mwaka wa budget hizo saili ni mwaka mwingine wa Budget
Huyo mwalimu aliyepata 0 alitaka akafundishe mtoto wa nani?Waalimu wanalambwa