Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oya wazee mimi ni mwalimu nimekua na option tofauti tofauti, niko na miaka 27, nina degree ya ualimu na niko halmashauri, nipo na option nyingi ya kusoma degree, kwasababu nilisoma Pcb na nina div 2 ya 11, nataka nikasome diploma ya civil engineering au architecture?..vipi niko kwenye njia sahihi?, maana naona ni bora kuliko degree ya ualimu uku mpwimbe katavi.
 
utapoteza tu muda mwalimu pambana na hiyo hiyo degree itakutoa tu
 
Hivi watu wa utumishi wanayo access ya kukupigi simu ili jina lako liingie kwenye pdf ya placements?
 
mara ooh hatuna bahati haya sasa buyu la asali hilo mjiandae kwa manundu.hii interview yake nadhani itakua baada ya christmass🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…