Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuzidi kuwaombea waalimu hasa wale ambao walikuwa hawataki usaili 😂

Nawasalim wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania..
Hongereni sana kwa kuendelea na kazi nzuri ya kizalendo ya kujenga nchi yetu.
Mliofanikiwa kuingia kundini, karibuni sana na ambao bado msikate tamaa Mungu atatenda
 
Unakatisha sana tamaa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…