Hawa mkuuu ni mwaka jana sijui ukiangalia date pale waliofanya interview sasa ninacho jiuliza interview walifanyia wap???Walimu washaitwa kazini daaah!!!
Na waalimu wapo ni mixer mkuuHizi pdf za walimu lakin ukifungua unakutana na kada nyengine sijui hii imekaaje
Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafunguiNa waalimu wapo ni mixer mkuu
hawa jamaa utumishi hizi ajira za ualimu masomo husika wamepeana tu. Au zimetoka tamisemi zina maelekezo maalum.!! Imagine trh zilizoandikwa kwa waliofanya usaili mbona haziendani na muda waliota watu kwenye usaili???Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
Wanataka jobless tufungie kila mkekaSas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
Database ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepoQumaqumamamaeee walimu wametolewa database wakuu😂😂😂🤣🤣
Hawa wamechanganya mafaili Kwa sababu Kuna afisa ustwawi wa jamii msaidiz wamefanya tarh 7 mwez wa 1 mwaka huu na majina yameanza kutokaDatabase ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
Baadhi ya mikoa physics na math tayari washatoa majinaDatabase ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
😀😀😀😀😀😀......Picha linaazahawa jamaa utumishi hizi ajira za ualimu masomo husika wamepeana tu. Au zimetoka tamisemi zina maelekezo maalum.!! Imagine trh zilizoandikwa kwa waliofanya usaili mbona haziendani na muda waliota watu kwenye usaili???
Duuh basi wameamua kuwaisha placements siku hiziHawa wamechanganya mafaili Kwa sababu Kuna afisa ustwawi wa jamii msaidiz wamefanya tarh 7 mwez wa 1 mwaka huu na majina yameanza kutoka
Kwahiyo ni kweli ni majina ya walofanya juzi hapo??Baadhi ya mikoa physics na math tayari washatoa majina
Hapo sasa ndio waseme wao walikotoa hao waalimu aisee waalimu wana kazi sana moto unawaka kama wapo tamisemi vile vile tuDatabase ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
labda ni wale walofanya tareh za mwanzoni ndo wamepangiwaHapo sasa ndio waseme wao walikotoa hao waalimu aisee waalimu wana kazi sana moto unawaka kama wapo tamisemi vile vile tu
Ngoja waje waalimuH
labda ni wale walofanya tareh za mwanzoni ndo wamepangiwa
Walimu wa mathematic na physics wamefanya oral moja kwa moja kwanzia tarehe 14/01Ngoja waje waalimu
Tuwe wapole tu mkuu walimu washakuja kwa kasiUtumishi kama kuna kosa niliwakosea nisameheni.
Kwanini utumishi wanatumia muda mrefu kuniita kazini😭😭😭???
Daah kwenye pdf la walimu ndio kulikuwa na post yangu niliyopiga oral ila nimeliwa kichwaTuwe wapole tu mkuu walimu washakuja kwa kasi