Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Fact! Kuna washkaji walipigiwa simu wakaenda kuchukua barua,,waka report kwa HR kabisa ila kuanza kazi wakambiwa wasubiri wenzao ambao wamefanya usaili ila hawa walikuwa kwe kanzi data,,,so ni vyema ukamuliza yeye ametokea kanzi data au ni miongozi waliofanya usaili na kusubiri placement?
 
Basi natamani iwe ata hivyo
 
Basi natamani ata nitume barua hapa, ila kazi ni hiyo hiyo ya afisa ardhi daraja la pili na barua inareflect usaili uliofanywa tarehe 17, may na ndo hiyo hiyo tulifanya sisi
 
Basi natamani ata nitume barua hapa, ila kazi ni hiyo hiyo ya afisa ardhi daraja la pili na barua inareflect usaili uliofanywa tarehe 17, may na ndo hiyo hiyo tulifanya sisi
itume mkuu
 
Acha uongo wewe na mbwembwe hapa..
Kama kweli wameitwa watu na wapo kazini basi weka hyo barua ya ajira ya huyo jamaa ako.. Kama huweki barua hapa basi we ni muongo tu kama waongo wengine.. psrs hawana hayo makandokando na vijna tutaendelea kuomba ajira huku tukimuomba mungu na Kwa nguvu ya Mungu tutaingilia serikalini..
PSRS Oyeeeeeh😁😁
 
Huyu kama hataki kutuma barua hapa basi atutolee huu ujinga wake.. barua sio Siri that's why mwenye barua kapost.. madam kafichwa baadhi ya taarifa basi aiweke hapa, kwani anaogopa nn.. me Kuna Mshikaji wangu alipata kazi na alitupostia wadau full letter Wala hakuna Offence hapo
 
Duh we jamaa, mimi mwenyewe nasubir placements hizo kwa hamu tu na bora zingetoka ata kama simo nisingekuja hapa kulalamika. Yaan nijitungie hapa nije kujistress for nothing. Na hakuna sehemu nliposema nimekuja kuwakatisha tamaa mimi mwenyewe hiyo ya j3 tarehe 5 naenda vizuri tu
 
Mkuu basi tusubiri liwalo na liwe
 
Hata me sijasema unawakatisha watu tamaa.. kikubwa vijana tuendelee kufanya Usaili tu mambo ya placements tuwaachie wenyewe PSRS..
 
Basi natamani ata nitume barua hapa, ila kazi ni hiyo hiyo ya afisa ardhi daraja la pili na barua inareflect usaili uliofanywa tarehe 17, may na ndo hiyo hiyo tulifanya sisi
Basi fresh kijana usife moyo tuendelee kupambana
 
Hata me sijasema unawakatisha watu tamaa.. kikubwa vijana tuendelee kufanya Usaili tu mambo ya placements tuwaachie wenyewe PSRS..
Basi siku nyingine ukijareply kwa mtu usiconclude muongo mara kaandika ujinga ukiwa hujui ata why kaandika hivyo. Hiyo barua sikuipost tu kwa kutumia hekima nliyonayo basi unaweza ukakuta mtu ushamwaribia ni bora ata ajiharibie mwenyewe. Na huu ni uwanja mpana tofauti na status. Na bado nlipopost hapa tyar kuna mtu alikuja akanambia ungefuta jina lake kiubinadamu hayo mambo nliona na ndo maana tangu naongelea hili sijataka ipost hiyo barua. Wengine tuna experience na mitandao, yeye kapost tu kwa uzuri anamshukuru Mungu na mistari ya bible upande mwingine sisi huku tupo tunajiuliza ilikuaje.
 
Kwa ajili ya kuwaminisha jamii utendaji wa utumishi inapaswa itolee ufafanuzi hilo suala

Ni kweli kabisa, kwa mwendo huu watu watakosa imani ya kufuata taratibu zilizopo ili kupata ajira Serikalini, itabaki ni wenye uwezo wa kutoa rushwa na kujuana ndio wanagombania nafasi.
 

Mkuu nimekubali sana uwasilishaji wako wa hii inshu, vipi kwa hii ya Bunge unawania nafasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…