makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Fact! Kuna washkaji walipigiwa simu wakaenda kuchukua barua,,waka report kwa HR kabisa ila kuanza kazi wakambiwa wasubiri wenzao ambao wamefanya usaili ila hawa walikuwa kwe kanzi data,,,so ni vyema ukamuliza yeye ametokea kanzi data au ni miongozi waliofanya usaili na kusubiri placement?Mkuu ungemuuliza km hiyo kazi ni ya kada ambayo wew umefanyia interview?
Kuna wale ambao hua wanatokea kwenye kanzidata yawezekana pia yeye kapitia huko kwa ninavyofaham hata km mtu kafanyiwa mipango lazima apitie kwenye mfumo rasmi ikiwemo kua shorlisted, oral mpaka kwenye placement huo utaratib wa kupigiwa simu hua n kwa waliokua kwenye kanzidata