Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Umeeleza vyema mkuu tuendelee kuhudhulia interview
 
Mimi naamini kwenye kujiandaa vizuri na mapema ayo mengine namwachia Mungu kwa sababu Sikio lake sio zito ata akashindwa kutusikia
Haya mambo ya Utumishi kwa kweli ni Neema ya Mungu.....Ndomaana kwenye Oral wameweka siri yao marks zako hawataki kuweka wazi kunakitu wanachojua wao...
Na baada ya wasakaji kuwa watafiti kujua kupitia Application yao wameona shida wakaifungia(undermaintanance)
Upepo ukikubali mnalamba asali wote mlioingia oral mpaka bado wanauhitaji mwingine......
 
Mkuu nimegundua humu umu upo kitambo sana utakuwa na mzoefu mkubwa kwenye haya mambo hivyo mwaka huu unaweza kuwa wako kama hujalamba mchuzi mkuu
 
oya pdf zinamiminika kila siku ila kila nikicheck kozi yangu ni bila bila mpaka sasa sijui wameisahau?? Wakati ndio kiuongo cha office kwenye swala la management
Usijaliii nafasi zenu za uhasibu zitatoka tu mzee wangu.
 
Mkuu sasa kazi zilitangaziwa wapi wakat mfum ulikua tamisemi??
Walishawahi kutangaza nafasia za walimu mfano Tangazo hilo la mwezi January 23, 2024 Walikuwa wanataka Walimu.
 

Attachments

Walishawahi kutangaza nafasia za walimu mfano Tangazo hilo la mwezi January 23, 2024 Walikuwa wanataka Walimu.
Ni kweli mkuu nimekili kuwa ni kweli sema nilikua sifuatilii ajira za serikalini kipindi hivyo nilikua sijui.
 
Wale ambao wamewekewa SELECTED. Baada ya kufanya oral, huwa kuna updates tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…