makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Ameni mkuu.be blessed mkuu.I hope Kuna siku na sisi tutatoa ushuhuda wa kupata kazi.
Mtu mwingine akipata kazi na kutoa ushuhuda hapa iwe ni sehemu ya kutumia nguvu!
We shall over come! We shall over come!
Mimi najitolea kila ijumaa kufunga na kuomba kwa ajili yetu sote ambao Bado tunasubiria interview, kusubiria nafasi kutangazwa au kama unasubiria kuitwa kazini.
Kila ijumaa ntafunga na kuomba ... Maisha yana Siri kubwa huwezi kujua kesho nani anaweza kuwa msaada kwako!
Mungu si tu kama anasikia maombi Bali anajibu pia
Hapana mkuu inabaki hivo hivoWale ambao wamewekewa SELECTED. Baada ya kufanya oral, huwa kuna updates tena ?
Lengo la usaili wa kuandika na usaili wa mahojiano ni lipi ?Hapana mkuu inabaki hivo hivo
Unafanya kitu kizuri mkuu..I hope Kuna siku na sisi tutatoa ushuhuda wa kupata kazi.
Mtu mwingine akipata kazi na kutoa ushuhuda hapa iwe ni sehemu ya kutumia nguvu!
We shall over come! We shall over come!
Mimi najitolea kila ijumaa kufunga na kuomba kwa ajili yetu sote ambao Bado tunasubiria interview, kusubiria nafasi kutangazwa au kama unasubiria kuitwa kazini.
Kila ijumaa ntafunga na kuomba ... Maisha yana Siri kubwa huwezi kujua kesho nani anaweza kuwa msaada kwako!
Mungu si tu kama anasikia maombi Bali anajibu pia
Unazungumzia zile za mwezi wa 8?!Habari wakuu, hivi kuna zile posts zilitangazwa last year nyingi tuu taasisi za LGAs na MDAs,nakumbuka ilikuwa mwezi wa nane, nini kilitokea? Naona hawajaita mpaka leo, au walizifuta??
🔥🔥🔥🔥🔥 hongera sana aisee haikua rahisi.Habar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Zile waliita baadhi ya kada nyingine zilizobaki nafikiri baada ya kumalizana na walimuHabari wakuu, hivi kuna zile posts zilitangazwa last year nyingi tuu taasisi za LGAs na MDAs,nakumbuka ilikuwa mwezi wa nane, nini kilitokea? Naona hawajaita mpaka leo, au walizifuta??
Pia kuna tawa na tawiri bado awajatuita toka mwezi wa naneUnazungumzia zile za mwezi wa 8?!
Kama ni zile basi bado zipo pending..
Sio hizo tu,Kuna za taasisi nyingine kama TFS na Necta bado hawajaita watu kwenye interview.
Wajuvi wanasema kua watu wataitwa kwenye interview baada ya Utumishi kumalizana na walimu.
Let's be Patient mkuu.
Unajikuta mtu unasoma mpaka unasahau 😀Pia kuna tawa na tawiri bado awajatuita toka mwezi wa nane
Ongezea na TAFORIPia kuna tawa na tawiri bado awajatuita toka mwezi wa nane
Tangazo liko wapi mkuuWale wa account, administration, taxation, procurement and civil engineering ni muda wenu wa kuongeza Received maana TRA wanahitaji watu 1630+ ivyo kila lakheri kwenu
Mimi nimeliona kwenye group za WhatsappTangazo liko wapi mkuu