zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wewe mwezi wa 8 mwaka jana km uliomba mpaka leo hujaitwa interview hesabu hizo kazi tayari wameshapewa wa kupenyezwa huko wewe cha kufanya subiri ukafanye interview km ushahidi kisha basi endelea na shughuli zako za udereva bodabodaKuna ambao tuliomba position mbili, tokea mwezi wa 8 mwaka jana lakini bado hatuja itwa kwenye interview. Je, tutakuwa not shortlisted? Naomba majibu
Wamemchinja kote hawampa shortlist hata moja zote wamefyeka hao ajiraportal wana sonona sio siri huyo admin wao hana huruma anaishi na msongo wa mawazoJamaa hawacheki na wowote🥹🥹
Wamekuchinjia mbali wanasemaga mtaka nyingi na 7 hupata mingi misiba, sasa hapa ndio nimeaminiOyaaa sasa unatakiwa kujifunza hapo unaweza kosa kote
Km tangu mwezi wa 8 mwaka jana umetuma maombi na hujaitwa interview mpaka hivi leo hesabu kwamba connection ina nguvu zile nafasi za mwezi wa 8 watu wenye connection wameshapewa huko wewe endelea kukodoa macho tu hapoHuu ni mfano hai kabisa alafu kesho mtu anaanza kusema bila connection utoboi kumbe sisi wenyewe tunafanya vitu ambavyo vinatutoa kwenye mchezo mapema
Kafute mojanimeomba Lab technician ii na laboratory officer
Ndio itakuepo kafute moja la sivyo watapita na wewekuna op
sor kuna option ya kucancel application?
Wapigie simu wameweka namba zao pale huduma kwa wateja in case of technical issues waambie umekosea ukajaza mara 2 moja waifute la sivyo utachezea fimbo yaan utachapwaBasi nishaharibu kazi nimejaribu kucancel application moja imeshindikana
Ndio unaweza kucancel kwa kuwapigia simuBaaaasiiii nishaharibu kazi hvi naweza kucancel???
Vijana washachoka mtaani kugumu kwa hio ni mwendo wa kujilipua tu then anakosa zote kisha anaendelea kuendesha bajaj na bodaboda😂sema faza na ww ulizidisha yani application 05
Multiple selections not shortlisted omba moja usitake kuomba nyingi interview siku 1 watakupanga ipi wakuache ipi huoni unawachanganya unataka wakuchagulie wao sababu una uwezo wa kuingia kwenye kazi zaidi ya 1? Wewe sawa unaweza kuingia kwenye nafasi zaidi ya 1 chagua 1 zingine waachie wengine usichague kila sehemu utachezea fimbo tutakuchapaVipi kama ume apply mbili tu. Hapo utakuwa NOT SHORTLISTED?
Usimtishe mpambanaji ataitwa wala asijali kuna watu waliomba LGA na MDA may 2022 wakaitwa january 2023 hakuna uhuni unafanyika kila mwenye haki ya kuitwa ataitwa na kila atakayefaulu atapata ajira au kuhifadhiwa kanzi data.Km tangu mwezi wa 8 mwaka jana umetuma maombi na hujaitwa interview mpaka hivi leo hesabu kwamba connection ina nguvu zile nafasi za mwezi wa 8 watu wenye connection wameshapewa huko wewe endelea kukodoa macho tu hapo
Utaitwa kuwa mpole PSRS ni mwajiri fair kuliko yoyote unayemjuaKuna ambao tuliomba position mbili, tokea mwezi wa 8 mwaka jana lakini bado hatuja itwa kwenye interview. Je, tutakuwa not shortlisted? Naomba majibu
Kuna academic officer kuna administrative officer na human resource officerNi course gani mkuu inayokubali nafasi zote hizo
Hata hizo mbili zako ni nyingi mkuuu siku izi usaili ni siku moja na lisaa li moja tu😂sema faza na ww ulizidisha yani application 05
Plus internal Affairs Officer-ziko nne jumla za PSPA,PA na HRKuna academic officer kuna administrative officer na human resource officer
Uhuni?Usimtishe mpambanaji ataitwa wala asijali kuna watu waliomba LGA na MDA may 2022 wakaitwa january 2023 hakuna uhuni unafanyika kila mwenye haki ya kuitwa ataitwa na kila atakayefaulu atapata ajira au kuhifadhiwa kanzi data.
Kumbe sasa jichanganye pdf inatoka moja una majina 5 kwenye hio pdf unaona ina sound je utafanya vip interview na kuajiandaa kwako je??Plus internal Affairs Officer-ziko nne jumla za PSPA,PA na HR
asante sana mkuuNdio unaweza kucancel kwa kuwapigia simu