zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wewe mwezi wa 8 mwaka jana km uliomba mpaka leo hujaitwa interview hesabu hizo kazi tayari wameshapewa wa kupenyezwa huko wewe cha kufanya subiri ukafanye interview km ushahidi kisha basi endelea na shughuli zako za udereva bodabodaKuna ambao tuliomba position mbili, tokea mwezi wa 8 mwaka jana lakini bado hatuja itwa kwenye interview. Je, tutakuwa not shortlisted? Naomba majibu