Wacha mwisho wa siku tutamuona mwenye sonona kati ya utumish na applicantsAfu mtu anakuja kulalamika π acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo π
Admin wa ajiraportal anaishi na sononaAfu mtu anakuja kulalamika π acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo π
Admin ana msongo wa mawazo tena atakua Mwanamke hapo ndipo balaa lilipoWacha mwisho wa siku tutamuona mwenye sonona kati ya utumish na applicants
Admin ajiraportal sonona inamtafuna maana sio kwa kuroga huku kwa hawa wanaoomba nafasi za interview watu wanamroga mpaka adminAfu mtu anakuja kulalamika π acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo π
rahsully kapige interviewTAA INTERVIEW
HAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
TRA pia hukuchagulia position moja tu kwaajili ya interview regardless umejiona unafit kote namna ganiHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Mkuu inabidi ujiongeze mwenyewe tuHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Omba zaidi ya moja ukachezee RUNGU si unalijua RUNGU la Babu basi utacheza naloHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Za kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwaTRA pia hukuchagulia position moja tu kwaajili ya interview regardless umejiona unafit kote namna gani
Una makasiriko sana kijanaZa kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa
Tutawachapa nyinyi mnaojifanya wajuaji unaambiwa omba 1 unaomba 10 tamaa itakuponza fisi utakula mifupa, fisi mtachapwa mpaka mchapikeUna makasiriko sana kijana
Ni vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele tosha kua hukupaswa kuapply mbiliZa kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa
Kuna fisi haelewi humu anataka ale sherehe zote zenye misosi huku na kule na kule mwisho anaishia kuambulia mifupa, fisi yoyote atakae taka kula misosi mingi atachezea kichapo atachapwaNi vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele todha kua hukupaswa kuapply mbili
Sawa mkuuTutawachapa nyinyi mnaojifanya wajuaji unaambiwa omba 1 unaomba 10 tamaa itakuponza fisi utakula mifupa, fisi mtachapwa mpaka mchapike
Tra kwa sasa Wanaajiri wenyewe, ni balaa,
Binafsi mimi siombi
Hiyo app walishaisusa toka mwezi wa nane mwaka jana..Maboresho nimakubwa Sana PSRS ata apps Yao haifunguki saiv
Sawa mkuu sonona itakuuaAdmin ana msongo wa mawazo tena atakua Mwanamke hapo ndipo balaa lilipo