kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,293
I agree mkuuHakuna watu wanafki kama panelist
Endelea kuomba si kada ya maafisa watendaji hao wanahitajika kila siku utafikiwa tu hata mwaka bado kuwa na imani ila usiache kuomba tena na tena zinapotangazwa nafasi zingine.Mwez wa 10 mwak jan
Matokeo ya written ya na matter sana sema ni vile sisi tunawaza tu kuingia oral mtu aliepata 98 awez kufanana na mtu aliyepata 57 kamwe japo wote mmefauluI agree mkuu
Nakumbuka nilipomaliza kumwaga vitu mule ndani wakati natoka yule katibu ambae ndie alikuwa anatuita kuingia interview room alinambia hongera kijana mimi ndio HR wa hapa umetokea wapi...Nikamjibu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana, akanambia ukipata kazi tutaonana ofisini kwangu
Nikahisi lolote linaweza tokea matokeo yake pdf la placement limetoka nimeliwa kichwa so far waliyemchukua ndie alituongozea written so panelist walikuwa fair tu kumpa yule kazi maana kwa written mm nilikuw mtu wa 3
Jamaa wanafki sana alooo huwez amini sema unatakiwa kuendelea kuombaWale jamaa wanajua kukupa moyo yaani unatoka ukiamini mkeka umetiki wakija kutoa majina holaa😄😄
Kabisa mkuu ngoja tuendelee kutumia maji ya upako na mafuta labda tutachomokea uko databaseJamaa wanafki sana alooo huwez amini sema unatakiwa kuendelea kuomba
Inakuaje unataka kuajiriwa serikalini na huwezi kuandika vizuri?Kwaiy AP kak so waliopigia xim walifanyaj
Bado unapumua kaka😂😂umezoeq kusikia uongo masikio yako hayoo alooo,Anaacha kusema ukweli kijana anasingizia
Kuna ubaya gani hapo,hata wewe kama hujiamini tutakuchekia vilevileKwa hiyo jirani yako amekupa number yake umchekie?
Mimi.sikufanya Engineer,yan tangazo Lao.sikuliona kabisa ndio mana nlishtuka siku ile nkasema mbona sio utumishi hawa na nliombea utumish,aseewe hukuwepo rahsully
Watu mnakaza mafuvu jamani😂😂kazi yenu kufosi mambo,haya mzee ndio mieeJirani yako ndio wewe😀😃😀😃😀
Mwezi wa 10Ulifanya lini hiyo oral?
mie mwenyewe niliona tangazo la utumishi hilo la kwao sikuliona. sasa hapo ndo nashindwa kuelewa inamaana na utumishi watarudia tena usahili au ndio imetokaMimi.sikufanya Engineer,yan tangazo Lao.sikuliona kabisa ndio mana nlishtuka siku ile nkasema mbona sio utumishi hawa na nliombea utumish,asee
Inakuaje unataka kuajiriwa serikalini na huwezi kuandika vizuri?
raia hawataki kukuelewa kabisa yan 🤣 🤣Watu mnakaza mafuvu jamani😂😂kazi yenu kufosi mambo,haya mzee ndio miee
Database wanaweka wap matokeoHakuna watu wanafki kama panelist
Dogo huwez kuona aisee wewe tulia kama ulifanya vizur oral subili hata mwaka huwez kuona matokeo ya oralDatabase wanaweka wap matokeo
Atulize wenge .. kama ipo . IpoDogo huwez kuona aisee wewe tulia kama ulifanya vizur oral subili hata mwaka huwez kuona matokeo ya oral
Aloo watu tumechoka mkuuBado unapumua kaka😂😂umezoeq kusikia uongo masikio yako hayoo alooo,
Ndio mkuuu atulie tu yeye kama anaendelea kulima aendelee tu UTUMISHI WANA UZI SANA UNAWEZA PANIC ALOOAtulize wenge .. kama ipo . Ipo