Kwahiyo pale nikusoma kwa makini ulielewe swali linataka nini pia kuna zile term zinazokuwaga kwenye maswali ndo zinafelisha watu
Pole sana, we try, we fail but we rise again all in all God is good,muda utafika sote tutaingia kwenye mrija wa asali.Kweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Yes zile terms ndo mwiba yani unaweza kuielewa vibaya ukajibu vingine kabisaKweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Yes yes hongera mzeeLOAN OFFICERS 2 HESLB ORAL INTERVIEW
-Tell me about you Academic Background taking consideration the years n names of institution you attended
- Explain 3 ur job responsibilities and with examples on hw to implement
- explain 5 compleints may arise from loans beneficiaries?
- explain 5 solutions which u will take when there is riot/complaints about loans from their benefitieries
- expalain 5 things to be considered for onr to be grnted loans
-Functions of the board (5)
bado nasaka tonge mkuu ila hii thread inatia moyo sana kwa majoblessVipi Ushapata kazi mkuu?
Kweli mkuu inatusaidia hata kutuliza mioyobado nasaka tonge mkuu ila hii thread inatia moyo sana kwa majobless
Wengine tunakimbizana na vitu vingi kwa pamoja, ile 40 ambayo wanasemaga inabidi ikukute ukiwa tayari ushayavyoosha maisha, naiona ipo hapa karibu halafu bado naendelea kukandwa na PSRS. Kazi sanaGood booyyyy
Haya maswali ni general na watakuwa wameuliza kada nyingi.ECONOMIST 2 NAOT ORAL INTERVIEW
1. Tell us abt yourself
6. Five benefits of define objectives in conducting performance audit
7. Characteristics of good quality audit report
Tuungane kuitembelea sasa, ipo siku tutainuka wote humubado nasaka tonge mkuu ila hii thread inatia moyo sana kwa majobless
Status hazina maana yoyote , kuna mwamba alifanya ilikuwa inasoma SELECTED FOR NULL kwenye zile nafasi 10 za bandari (OPERATOR) pdf ilipotoka akapata, pia kuna mdada ilikuwa inamwandikia Not selected for null ila ilipotoka pdf kwenye mkeka wa mwezi 9 tarehe 27 akapata nafasi Afisa ustawi ya jamii wizara ya Afya. Hivyo tusubirie PDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa uhakika kacheki kwenye web imebadilikaje?
Mungu afanye wepesiStatus hazina maana yoyote , kuna mwamba alifanya ilikuwa inasoma SELECTED FOR NULL kwenye zile nafasi 10 za bandari (OPERATOR) pdf ilipotoka akapata, pia kuna mdada ilikuwa inamwandikia Not selected for null ila ilipotoka pdf kwenye mkeka wa mwezi 9 tarehe 27 akapata nafasi Afisa ustawi ya jamii wizara ya Afya. Hivyo tusubirie PDF
Huyo mdada alipata kwenye taasisi ile ile aliyofanyia au alipata kupitia data base??Status hazina maana yoyote , kuna mwamba alifanya ilikuwa inasoma SELECTED FOR NULL kwenye zile nafasi 10 za bandari (OPERATOR) pdf ilipotoka akapata, pia kuna mdada ilikuwa inamwandikia Not selected for null ila ilipotoka pdf kwenye mkeka wa mwezi 9 tarehe 27 akapata nafasi Afisa ustawi ya jamii wizara ya Afya. Hivyo tusubirie PDF
Yaan Ata me adi napumzikaga maana unajipa moyo lkn wapiNmeghairi kusoma mana nasoma hadi nasahau
Duh we jamaa 🤣🤣 unacomplicate maisha 🤣🤣Huyo mdada alipata kwenye taasisi ile ile aliyofanyia au alipata kupitia data base??
nimeuliza tu mzee mwenzangu hahhhh😂😂😂😂Duh we jamaa 🤣🤣 unacomplicate maisha 🤣🤣
Soma tu siku wakitoa hautatumia nguvu sana kusomaYaan Ata me adi napumzikaga maana unajipa moyo lkn wapi
Ile ileHuyo mdada alipata kwenye taasisi ile ile aliyofanyia au alipata kupitia data base??
sawa sawaIle ile