Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,718
Kweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Kwahiyo pale nikusoma kwa makini ulielewe swali linataka nini pia kuna zile term zinazokuwaga kwenye maswali ndo zinafelisha watu