Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Kwahiyo pale nikusoma kwa makini ulielewe swali linataka nini pia kuna zile term zinazokuwaga kwenye maswali ndo zinafelisha watu
 
ECONOMIST 2 NAOT ORAL INTERVIEW

1. Tell us abt yourself
2. What is inflation and five types of inflation according to rates
3. Different between normative economics and positive economics
4. Five Benefits of break even analysis
5. Five Determinant of price elasticity of demand
6. Five benefits of define objectives in conducting performance audit
7. Characteristics of good quality audit report
 
Kweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Pole sana, we try, we fail but we rise again all in all God is good,muda utafika sote tutaingia kwenye mrija wa asali.
 
LOAN OFFICERS 2 HESLB ORAL INTERVIEW

-Tell me about you Academic Background taking consideration the years n names of institution you attended

- Explain 3 ur job responsibilities and with examples on hw to implement

- explain 5 compleints may arise from loans beneficiaries?

- explain 5 solutions which u will take when there is riot/complaints about loans from their benefitieries

- expalain 5 things to be considered for onr to be grnted loans

-Functions of the board (5)
 
Kweli kaka sipo kwenye mrija baada ya kushindwa kuelewa kua legislation na legislations kitu kimoja, swali liliuliza kuhusu legislation controlling business in Tanzania nikataja moja nikapotea kwa marks tatu...wote walioenda oral walipita
Yes zile terms ndo mwiba yani unaweza kuielewa vibaya ukajibu vingine kabisa
 
LOAN OFFICERS 2 HESLB ORAL INTERVIEW

-Tell me about you Academic Background taking consideration the years n names of institution you attended

- Explain 3 ur job responsibilities and with examples on hw to implement

- explain 5 compleints may arise from loans beneficiaries?

- explain 5 solutions which u will take when there is riot/complaints about loans from their benefitieries

- expalain 5 things to be considered for onr to be grnted loans

-Functions of the board (5)
Yes yes hongera mzee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa uhakika kacheki kwenye web imebadilikaje?
Status hazina maana yoyote , kuna mwamba alifanya ilikuwa inasoma SELECTED FOR NULL kwenye zile nafasi 10 za bandari (OPERATOR) pdf ilipotoka akapata, pia kuna mdada ilikuwa inamwandikia Not selected for null ila ilipotoka pdf kwenye mkeka wa mwezi 9 tarehe 27 akapata nafasi Afisa ustawi ya jamii wizara ya Afya. Hivyo tusubirie PDF
 
Mungu afanye wepesi
 
Huyo mdada alipata kwenye taasisi ile ile aliyofanyia au alipata kupitia data base??
 
Back
Top Bottom