FAUDHI TWAIBU
Member
- Feb 22, 2025
- 37
- 25
Inakuaje wadau wa databaseKuna ubaya gani hapo,hata wewe kama hujiamini tutakuchekia vilevile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuaje wadau wa databaseKuna ubaya gani hapo,hata wewe kama hujiamini tutakuchekia vilevile
WamesusaOya wadau mbona jamaa wamezinda
Jauu aw Amna mpya kabixkwa kweli hawa mbwa wanazingua
kadri siku zinavyoenda wanazidi kuzinguaJauu aw Amna mpya kabix
Awatoi mkek awkadri siku zinavyoenda wanazidi kuzingua
wajiandae kuliwa vichwaWazee wa usahili shimo limetema huko
. Jitahidi kutumia herufi vizuri,Mwenye maswari ya posble ya interview hata yaliyopita naomba msaada
Njoo Dm nikuunganishe na jamaa aliefanyaga huo usaili,Aliewahi kufanya interview ya forest guard,naomba muongozo
Hivyo havikwepeki mkuu lazima viwepo ni kulia na kusaga menoMliokuwa mnalilia kuitwa interview shimo limetema mjiandae vilio visiwe vingi
Mkuu samahani kidogo,,Interview wote mnaenda kufanyia Dodoma au kila mtu kapangiwa mkoa aliombea ??Mliokuwa mnalilia kuitwa interview shimo limetema mjiandae vilio visiwe vingi
Bado kozi nying tu tunaendelea kusubiriSISI WA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII TUENDELEE KUSUBIRII 😂
Siku MDA na LGA wakitoa za Ustawi wa Jamiii na Maendeo ya jamiiBado kozi nying tu tunaendelea kusubiri