makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Nakuombea kwa Mungu ufike mpaka oralHallo nashukuru Mungu niko shortlisted aisee
Ukifika oral nitonye ... Tuzidishe maombi na kufunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea kwa Mungu ufike mpaka oralHallo nashukuru Mungu niko shortlisted aisee
Yaah mkuu huu mwaka usiishe bila kumiliki cheq number.Wacha mwaka huu before uchaguz nikasimamie jimbo mzee
Check number muhimu sana kakaYaah mkuu huu mwaka usiishe bila kumiliki cheq number.
Bora angakaaa kimya tuhuyu mzee nilijua tu ipo siku ataaribu
Wamelifuta mkuuMchanganyiko
Walimu watawaua😂😂Nasikia NETO washalambishwa asali huko
Hilo hapo mkuuWamelifuta mkuu
Wale viongozi wao wamesha toka mikononi mwa police 👮Nasikia NETO washalambishwa asali huko
Fanya nao mawasiliano mapema, inawezekana kufanyia moroSamahanini wapendwa, nilikuwa naomba majibu kama mnafahamu.
Mfano mtu amepangiwa kituo cha mbali kuliko sehemu aliyopo kwa wakati huo mfano upangiwe Lindi uptitude test interview na wakati huo upo Morogoro. Unaweza kwenda kituo cha Morogoro ambapo hujapangiwa ukawaomba wasimamizi ufanyie hapo na kukubaliwa?
Kwa anayejua naomba mnifahamishe.
Ukienda siku ya usaili hawatokukubalia cha kufanya wasiliana nao mapema kabla tarehe ya usaili.. pia mkuu jitahidi ku update taarifa zako unapohama sehem moja kwenye nyengin ili kuepukan na changamoto kama hizoSamahanini wapendwa, nilikuwa naomba majibu kama mnafahamu.
Mfano mtu amepangiwa kituo cha mbali kuliko sehemu aliyopo kwa wakati huo mfano upangiwe Lindi uptitude test interview na wakati huo upo Morogoro. Unaweza kwenda kituo cha Morogoro ambapo hujapangiwa ukawaomba wasimamizi ufanyie hapo na kukubaliwa?
Kwa anayejua naomba mnifahamishe.
NdioooSamahanini wapendwa, nilikuwa naomba majibu kama mnafahamu.
Mfano mtu amepangiwa kituo cha mbali kuliko sehemu aliyopo kwa wakati huo mfano upangiwe Lindi uptitude test interview na wakati huo upo Morogoro. Unaweza kwenda kituo cha Morogoro ambapo hujapangiwa ukawaomba wasimamizi ufanyie hapo na kukubaliwa?
Kwa anayejua naomba mnifahamishe.
Ya serikali...pale upande wa kushoto kwenye address ya mwajiri unabadilisha unaandika hyo waliokupa...Hello Ndugu wa Jf.
Kuna Pdf ya nafasi za Ajira Muhas imetoka leo lakini imesema barua iandikwe kwenda kwa Deputy Vice chancelor wa chuo badala katibu mkuu psrs kama ilivyo zoeleka.
Naomba kufahamishwa hii ajira inakuwa ni ya serikali au ni ya chuo ?
Mwifwa
Leonce jr
makutupora
No SQL
MamaSamia2025
Jumah JR Kalikenye_91
Mkuu tafuta tangazo husika nenda ajira portal updates kule wanakoweka matangazo download Tangazo zima lipitie kipengele kimoja baada ya kingine. Hakikisha unapitia lote kuepuka kukosea mkuu Anuan hipo umo kwenye tangazo ndio inakuwa sahihi usiangalizie kwa mwenzio. Follow instructionsHello Ndugu wa Jf.
Kuna Pdf ya nafasi za Ajira Muhas imetoka leo lakini imesema barua iandikwe kwenda kwa Deputy Vice chancelor wa chuo badala katibu mkuu psrs kama ilivyo zoeleka.
Naomba kufahamishwa hii ajira inakuwa ni ya serikali au ni ya chuo ? Je ni permanent ?
Atakae pata atatambulika kama mwajiriwa wa serikali au wa Chuo ?
Mwifwa
Leonce jr
makutupora
No SQL
MamaSamia2025
Jumah JR Kalikenye_91
Kaka naona maandalizi ya kuwakanda yameanza .. nakutakia kila la heri .. ukafanikiwe usaili.. siku moja tupate ushuhuda humu wa asali.🫡Kaongezen received huko wakuu zimemwagwa tena. Pia naomba mtu ambaye yupo kwenye magroup ya HR & ADMINISTRATION naomba number yake pm an add kwenye hayo ma group
Ya afisa hesabu ndio yametoka jana mkuu hayo uloangalia ilikua ni wa uchumi vipi umekua shortlisted?Mkeka wa LGA na MDA umetoka na niliapply kwenye mkeka simo na kwenye account yangu ya ajira portal bado imeandika '' received', kwani siku hizi hawatoi sababu ya kuto-shortlist mtu?? Niliomba afisa hesabu II