Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi wakuu kuna namna nyingine ya kuwapata watu wa ICT wa UTUMISHI zaidi ya email na namba zao walizotoa kwenye website?.

Maana kuna post nina apply ila inagoma inasema "Job Application failed" ilihali hiyo kazi ni ya kada yangu kabisa, Biomedical Engineering"View attachment 3267466View attachment 3267467
Kwenye qualifications requirements ya tangazo la kazi wameitaja Biomedical engineering??? Kama wameitaja basi relax mkuu hiyo ni changamoto yao ya kimfumo baada ya muda Huwa wanaiweka sawa.
 
Kwenye qualifications requirements ya tangazo la kazi wameitaja Biomedical engineering??? Kama wameitaja basi relax mkuu hiyo ni changamoto yao ya kimfumo baada ya muda Huwa wanaiweka sawa.
Ni hii mkuu.
 
Attachments

  • IMG_20250312_094037.jpg
    IMG_20250312_094037.jpg
    81.6 KB · Views: 1
Basi relax mkuu itakuwa ni changamoto yao ya kimfumo Kuna muda Huwa inakaa fresh jaribu mara kwa mara baada ya masaa kadhaa ikiwa bado watumie ujumbe kwa email wataitatua
Sawa mkuu. Nimewatumia email tangu jumapili ngoja niendelee kusubiri na kujaribu.
 
Sawa mkuu. Nimewatumia email tangu jumapili ngoja niendelee kusubiri na kujaribu.
Yah kama deadline bado bado sikilizia nilishawahi kumbana na hiyo changamoto niliwa email kesho yake ilikubali...kwahiyo inawezekan wenyew hawajagundua kama Kuna hiyo shida pia usiache kuwatafuta kwa simu mana inawezekan wanapokeaj email nying wakashindw ifikia kwa wakat Yako.
 
Kuna Pdf limeachiliwa huko la kuitwa kwenye usaili
 
Attachments

  • Screenshot_20250312-231149.png
    Screenshot_20250312-231149.png
    231.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom