Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Waungwana. Kama kuna mtu anafahamu kuna group la kufanya maandalizi ya interview za IT & Telecom anijulishe. Nipo Zambia nimeitwa kwenye usaili tarehe 16.
 
Ni kweli. Kwa upande wa Tax Management Officer II, wale waliosoma Bachelor of Banking and Finance, waliapply, wakawa shortlist, wakazuiwa mlangoni,. Ni kama utumishi tu, kama kozi haijatajwa, ukaomba na kiwa short listed, katika kuhakiki vyeti wanakuzuia.
Kwa waliokuwepo DUCE waliruhusiwa kufanya mtihani kwasababu hiyo sio banking pekee bali banking na finance. Sijui hao waliozuiwa walikua kituo kipi cha mtihani boss.
 
Kwa nini una-apply TIN namba ya biashara kijana? Apply isiyo ya biashara
Hv tofauti za hizi TIN ni zipi mana Mm nna TIN na imeandikwa Only for Non for business use, ila mm ilihitajika kazin sekta binafsi.
 
Hiyo ni kawaida saana.. Kuna jamaa alichomolewa kwenye oral masikini ya mungu
Ndomana wakaweka usahili wa pili pia kama vile oral sababu ni ile ile tu ni kupata watu sahihi zaidi kutokana na malengo ya taasisi yao wanavyo taka wenyewe mkuu, kama mfumo hau kuhitaji ni kazi bure kuendelea kufanya mapambano ya lazima kwakuwa ulifanya tayar written interview then na huko wakuache hapana, kikubwa ikitokea hivyo ni kukubali matokeo kwamba hiyo sio riziki yako songa mbele tafuta kwingine mungu yupo nawe daima ata bless tu siku moja.🙏
 
Naomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)

Ni kweli???
Kuna ambao walizuiliwa baadae wakaachiwa wafanye mtihani, ila wengine waliokuwa na wasimamizi wakuda waliwatosa kabisa.
 
Hv tofauti za hizi TIN ni zipi mana Mm nna TIN na imeandikwa Only for Non for business use, ila mm ilihitajika kazin sekta binafsi.
Ukiomba ya biashara inakuwa na vipengele vingi. Unashauriwa kuomba TIN namba isiyo ya biashara, ukitaka baadaye kuitumia kwa biashara una-update taarifa kwenye mfumo tu, au unaenda ofisi yoyote ya TRA wanakuingizia taarifa.
 
Eti hyo haiwezekani, yan wame shortlist, nimepiga written then naiona asali inakaribia ndio wanichomoe dah sitoki😀😀😀😀😀
Kunakuwa na askari mkuu hujawai kuhudhulia?? na wanakuwa na mitutu ukilipuliwa ya mguu kuvuruga mitihani utasema nini.???
 
20250305_195904.jpg
Hivi hizi kazi za kilimo toka mwezi wa nane ziliendaje
 
Back
Top Bottom