Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ya afisa hesabu ndio yametoka jana mkuu hayo uloangalia ilikua ni wa uchumi vipi umekua shortlisted?
Yeah mkuu nimeangalia kwenye account yangu nimekuwa shortlisted, niliomba account officer II
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
 
Kwa hiyo wamebadilisha tena saiv sio kila Mkoa?
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
Chungulia mara kwa mara kwenye account Yako mkuu wataeka tu kituo
 
Pitia vizurii Tangazo mkuu kama ni la mkataba wataainisha humo kwenye tangazo
 
Hizi ajira za walimu zinazotoka mtu akipangwa Wizara ya Elimu anaenda kufundisha shule gani?

Kuna dogo yeye hajapangwa halmashauri bali wameandika tu Wizara ya Elimu.

Msaada kwa anayejua.
 
Wengi wao hawapelekwi shule
Bali hupelekwa vyuo vya maendeleo ya wananchi vilivyopo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
Hii kitu nimeikuta pia ,hawajaweka interview number Wala venue,wenye ujuzi na hili watusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…