Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
 
Kwa hiyo wamebadilisha tena saiv sio kila Mkoa?
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
Chungulia mara kwa mara kwenye account Yako mkuu wataeka tu kituo
 
Hello Ndugu wa Jf.
Kuna Pdf ya nafasi za Ajira Muhas imetoka leo lakini imesema barua iandikwe kwenda kwa Deputy Vice chancelor wa chuo badala katibu mkuu psrs kama ilivyo zoeleka.
Naomba kufahamishwa hii ajira inakuwa ni ya serikali au ni ya chuo ? Je ni permanent ?
Atakae pata atatambulika kama mwajiriwa wa serikali au wa Chuo ?

Mwifwa
Leonce jr
makutupora
No SQL
MamaSamia2025
Jumah JR Kalikenye_91
Pitia vizurii Tangazo mkuu kama ni la mkataba wataainisha humo kwenye tangazo
 
Hizi ajira za walimu zinazotoka mtu akipangwa Wizara ya Elimu anaenda kufundisha shule gani?

Kuna dogo yeye hajapangwa halmashauri bali wameandika tu Wizara ya Elimu.

Msaada kwa anayejua.
 
Wengi wao hawapelekwi shule
Bali hupelekwa vyuo vya maendeleo ya wananchi vilivyopo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
 
Wakuu naomba mwenye uelewa wa huu mkeka wa LGA na MDA wamesema tu mikoa ya interview ila hawaja specify ni maeneo yapi ndani ya hiyo mikoa, mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhali, asante
Hii kitu nimeikuta pia ,hawajaweka interview number Wala venue,wenye ujuzi na hili watusaidie
 
Back
Top Bottom