Sema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za productionKwani hiyo si ishu ya kiofisi au ni ishu Binafsi? Hujaongopa kitu kwanza ni credit kwamba una CONFIDENTIAL discipline.
yes yesEnvironmental scanning is obvious gud hasa hasa ukiwa na specific target.
Muonekano wa mtu na the way anavyo jitambulisha na kutembea (body language) inaweza kumpa hadhi kubwa na wala asiwekew vikwazo.
Yaan aende kama afisa sio anaenda na panki.. Nguo suruali njiwa.. Hajanyoosha shati
Kabebelea Bahasha inaonekana kabisa huyu kaweka vyeti humu (just slot your documents ktk Bag ambalo ni well presentable)
Haya wengine tumepitia before so naongea by experience
Nashauri usitumie nguvu sana. Tenga siku moja kwa kampuni moja. Weka kwa wiki unaomba kampuni tatu then unaskilizia wiki nzima bila kuomba kwingine (hii nina maana yangu)Poa poa mkuu ngoja tujaribu asee naandaa docs na letters za kutosha nikianza kuzurula na boda boda nahakikisha nimepitia sehemu za kutosha asee.
Poa poa mkuuKwani hiyo si ishu ya kiofisi au ni ishu Binafsi? Hujaongopa kitu kwanza ni credit kwamba una CONFIDENTIAL discipline.
Yah integemea na kampuni na kampuniSema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za production
Environmental scanning is obvious gud hasa hasa ukiwa na specific target.
Muonekano wa mtu na the way anavyo jitambulisha na kutembea (body language) inaweza kumpa hadhi kubwa na wala asiwekew vikwazo.
Yaan aende kama afisa sio anaenda na panki.. Nguo suruali njiwa.. Hajanyoosha shati
Kabebelea Bahasha inaonekana kabisa huyu kaweka vyeti humu (just slot your documents ktk Bag ambalo ni well presentable)
Haya wengine tumepitia before so naongea by experience
Kijana.. Kusema neno "Nina Shida ya KIOFISI" si kosa wala hujadanganya kitu. Au kusema nina SHIDA binafsi si kosa. Wala hujadanganya kitu.Halafu as I've heard issue za kiofisi zinaendaga kwa ranks ukienda pale stranger kuna matatizo specific ndo yatakuwa yafike kwenye higher ranks.
So ukirubuni ukaenda kwa HR ambaye aliambiwa na ulikofikia kuwa una tatizo fulani halafu we ukamueleza tatizo jingine hapo unaweza ukam piss-off akakuona mzinguaji and unprofessional.
So mi ntakayekutana naye ntamuweka wazi na kama wakinikazia sio case nawapotezea.Mi ntakuwa muwazi tu sitaki mtu aanza kuniuluza maswali kama vile ni mwizi ninekatwa na polisi mwisho wa siku naharibu kila kitu.
Imagine unakutana na kidada/vidada au mijamaa yenye mdomo pale reception wanakucorner mpaka wajuwe shida yako nini Sasa ukiwadanganya na wakajuwa unakuwa umeharibu kila tu.
Bora kuwa muwazi na kama ukikosa sio kesi MUNGU ni wetu sote.
Hizi kampuni zinawekaga ugumu sanaKijana.. Kusema neno "Nina Shida ya KIOFISI" si kosa wala hujadanganya kitu. Au kusema nina SHIDA binafsi si kosa. Wala hujadanganya kitu.
Hio ishu ni interchangeable
Mie kipindi naomba Field wakat nasoma nilitumia hiyo njia, just imagine hiyo ni field tu.
Tena watataka ujitambulishe jina kabisa na ataambuwa fulani anahitaji kukuona hapo ofisini na kama jina lako ni geni na jamaa hakufahamu na wewe ulishavimba kama unafahamiana naye Sasa hapo ndo ishakula kwako.Sema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za production
Pamoja sana bossNashauri usitumie nguvu sana. Tenga siku moja kwa kampuni moja. Weka kwa wiki unaomba kampuni tatu then unaskilizia wiki nzima bila kuomba kwingine (hii nina maana yangu)
Then ukiona hakuna response unafatilia majibu kama hakuna positive feedback unarudia routine yako then unatulia wiki kama kawaida.. Mwendo huo huo slowly but sure.
πππππ Walinzi nuksiYah integemea na kampuni na kampuni
Yeye cha msingi azingatie Muonekano tu.
Wale walinzi wanaangalia kabisa wanaona huyu ni jamaa kapigika mtaani anakuja kulia lia njaa
Ila ukienda kama una ajira tayari kwanza hata Secretary anawez kuchochea process..
Yani Kuna option moja labda umpange mlinzi umwambie ukweli then ampigie simu manager amuombe kuwa Kuna mgeni wake ili akuruhusu kama mlinzi atakuwa muelewa atakupeleka utaonana naeTena watataka ujitambulishe jina kabisa na ataambuwa fulani anahitaji kukuona hapo ofisini na kama jina lako ni geni na jamaa hakufahamu na wewe ulishavimba kama unafahamiana naye Sasa hapo ndo ishakula kwako.
Ntajaribu hii bossYani Kuna option moja labda umpange mlinzi umwambie ukweli then ampigie simu manager amuombe kuwa Kuna mgeni wake ili akuruhusu kama mlinzi atakuwa muelewa atakupeleka utaonana nae
Unataka kupeleka kampuni gani?Pamoja sana boss
Ni nzuri kama ukiongea na secretary au mlinzi kwa nidhamu lakini kwenye viwanda vya production waharuhusu kuingia kwasababu ya safetyNtajaribu hii boss
Naanza na tobacco na century textile maana naona Hawa jamaa wana gapes kubwa za ajira so ni viwanda vikubwa imagine kila mmoja hapo kaajiri watu kuanzia 2000, then ntaangalia nifuate na yupi.Unataka kupeleka kampuni gani?
Nenda tobacco pia muombe Mungu mzeeNaanza na tobacco na century textile maana naona Hawa jamaa wana gapes kubwa za ajira so ni viwanda vikubwa imagine kila mmoja hapo kaajiri watu kuanzia 2000, then ntaangalia nifuate na yupi.
Ajaribu kwa kampuni mbili kama approach ikifel bas asifanye hivyoHizi kampuni zinawekaga ugumu sana
Mie show nilikuw naianzia getini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Walinzi nuksi