Halafu as I've heard issue za kiofisi zinaendaga kwa ranks ukienda pale stranger kuna matatizo specific ndo yatakuwa yafike kwenye higher ranks.
So ukirubuni ukaenda kwa HR ambaye aliambiwa na ulikofikia kuwa una tatizo fulani halafu we ukamueleza tatizo jingine hapo unaweza ukam piss-off akakuona mzinguaji and unprofessional.
So mi ntakayekutana naye ntamuweka wazi na kama wakinikazia sio case nawapotezea.Mi ntakuwa muwazi tu sitaki mtu aanza kuniuluza maswali kama vile ni mwizi ninekatwa na polisi mwisho wa siku naharibu kila kitu.
Imagine unakutana na kidada/vidada au mijamaa yenye mdomo pale reception wanakucorner mpaka wajuwe shida yako nini Sasa ukiwadanganya na wakajuwa unakuwa umeharibu kila tu.
Bora kuwa muwazi na kama ukikosa sio kesi MUNGU ni wetu sote.