Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwani hiyo si ishu ya kiofisi au ni ishu Binafsi? Hujaongopa kitu kwanza ni credit kwamba una CONFIDENTIAL discipline.
Sema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za production
 
Environmental scanning is obvious gud hasa hasa ukiwa na specific target.

Muonekano wa mtu na the way anavyo jitambulisha na kutembea (body language) inaweza kumpa hadhi kubwa na wala asiwekew vikwazo.

Yaan aende kama afisa sio anaenda na panki.. Nguo suruali njiwa.. Hajanyoosha shati

Kabebelea Bahasha inaonekana kabisa huyu kaweka vyeti humu (just slot your documents ktk Bag ambalo ni well presentable)

Haya wengine tumepitia before so naongea by experience
yes yes
 
Poa poa mkuu ngoja tujaribu asee naandaa docs na letters za kutosha nikianza kuzurula na boda boda nahakikisha nimepitia sehemu za kutosha asee.
Nashauri usitumie nguvu sana. Tenga siku moja kwa kampuni moja. Weka kwa wiki unaomba kampuni tatu then unaskilizia wiki nzima bila kuomba kwingine (hii nina maana yangu)

Then ukiona hakuna response unafatilia majibu kama hakuna positive feedback unarudia routine yako then unatulia wiki kama kawaida.. Mwendo huo huo slowly but sure.
 
Halafu as I've heard issue za kiofisi zinaendaga kwa ranks ukienda pale stranger kuna matatizo specific ndo yatakuwa yafike kwenye higher ranks.

So ukirubuni ukaenda kwa HR ambaye aliambiwa na ulikofikia kuwa una tatizo fulani halafu we ukamueleza tatizo jingine hapo unaweza ukam piss-off akakuona mzinguaji and unprofessional.

So mi ntakayekutana naye ntamuweka wazi na kama wakinikazia sio case nawapotezea.Mi ntakuwa muwazi tu sitaki mtu aanza kuniuluza maswali kama vile ni mwizi ninekatwa na polisi mwisho wa siku naharibu kila kitu.
Imagine unakutana na kidada/vidada au mijamaa yenye mdomo pale reception wanakucorner mpaka wajuwe shida yako nini Sasa ukiwadanganya na wakajuwa unakuwa umeharibu kila tu.

Bora kuwa muwazi na kama ukikosa sio kesi MUNGU ni wetu sote.
 
Sema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za production
Yah integemea na kampuni na kampuni

Yeye cha msingi azingatie Muonekano tu.

Wale walinzi wanaangalia kabisa wanaona huyu ni jamaa kapigika mtaani anakuja kulia lia njaa

Ila ukienda kama una ajira tayari kwanza hata Secretary anawez kuchochea process..
 
Hahahhaahhah sawa sawa mkuu, nmekupata fresh
Environmental scanning is obvious gud hasa hasa ukiwa na specific target.

Muonekano wa mtu na the way anavyo jitambulisha na kutembea (body language) inaweza kumpa hadhi kubwa na wala asiwekew vikwazo.

Yaan aende kama afisa sio anaenda na panki.. Nguo suruali njiwa.. Hajanyoosha shati

Kabebelea Bahasha inaonekana kabisa huyu kaweka vyeti humu (just slot your documents ktk Bag ambalo ni well presentable)

Haya wengine tumepitia before so naongea by experience
 
Halafu as I've heard issue za kiofisi zinaendaga kwa ranks ukienda pale stranger kuna matatizo specific ndo yatakuwa yafike kwenye higher ranks.

So ukirubuni ukaenda kwa HR ambaye aliambiwa na ulikofikia kuwa una tatizo fulani halafu we ukamueleza tatizo jingine hapo unaweza ukam piss-off akakuona mzinguaji and unprofessional.

So mi ntakayekutana naye ntamuweka wazi na kama wakinikazia sio case nawapotezea.Mi ntakuwa muwazi tu sitaki mtu aanza kuniuluza maswali kama vile ni mwizi ninekatwa na polisi mwisho wa siku naharibu kila kitu.
Imagine unakutana na kidada/vidada au mijamaa yenye mdomo pale reception wanakucorner mpaka wajuwe shida yako nini Sasa ukiwadanganya na wakajuwa unakuwa umeharibu kila tu.

Bora kuwa muwazi na kama ukikosa sio kesi MUNGU ni wetu sote.
Kijana.. Kusema neno "Nina Shida ya KIOFISI" si kosa wala hujadanganya kitu. Au kusema nina SHIDA binafsi si kosa. Wala hujadanganya kitu.

Hio ishu ni interchangeable

Mie kipindi naomba Field wakat nasoma nilitumia hiyo njia, just imagine hiyo ni field tu.
 
Hizi kampuni zinawekaga ugumu sana
 
Sema mkuu kama umeshawahi kwenda kwenye hivi viwanda wanakuwaga wagumu sana kuruhusu yani mpaka wampigie simu labda aruhusu yeye ndo uingie maana mle ndani kunakuwaga na ishu za safety ambazo hawaruhusu watu kuingia labda kwenye kampuni zisizo za production
Tena watataka ujitambulishe jina kabisa na ataambuwa fulani anahitaji kukuona hapo ofisini na kama jina lako ni geni na jamaa hakufahamu na wewe ulishavimba kama unafahamiana naye Sasa hapo ndo ishakula kwako.
 
Nashauri usitumie nguvu sana. Tenga siku moja kwa kampuni moja. Weka kwa wiki unaomba kampuni tatu then unaskilizia wiki nzima bila kuomba kwingine (hii nina maana yangu)

Then ukiona hakuna response unafatilia majibu kama hakuna positive feedback unarudia routine yako then unatulia wiki kama kawaida.. Mwendo huo huo slowly but sure.
Pamoja sana boss
 
Tena watataka ujitambulishe jina kabisa na ataambuwa fulani anahitaji kukuona hapo ofisini na kama jina lako ni geni na jamaa hakufahamu na wewe ulishavimba kama unafahamiana naye Sasa hapo ndo ishakula kwako.
Yani Kuna option moja labda umpange mlinzi umwambie ukweli then ampigie simu manager amuombe kuwa Kuna mgeni wake ili akuruhusu kama mlinzi atakuwa muelewa atakupeleka utaonana nae
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Walinzi nuksi
Mie show nilikuw naianzia getini

Nakuwa mcheshi Unyunyu mkali

Naingia nacheka nao vzr hata kama wapo serious ntahakikisha naweka ucheshi kidogo then naaanza nao wale kuwapeleleza infrastructure zikoje ndan nataka kuonana na flan yupo? au nauliz na ratiba zake kbs then nasonga mbele nikiingia reception nikimkuta mdada aah ndio kwisha kabisa
 
Back
Top Bottom